Cohenlukinga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 279
- 352
AhahahahaMashosti wanaichamba qatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahahaMashosti wanaichamba qatar
Mpira unachezwaKobazi world cup 2022
ikifika mda wa azana mpira unasimamishwa !
muhadhara kwenye mpira!
Tatizo lako wewe kafir unadhani sala ya kiislamu inafata saaMpira unachezwa
Saa 7 Mchana muda wa Swala
Saa 10 Jioni muda wa Swala
Saa 1 Usiku muda wa Swala
Hakuna kitakachosimama, karibu Qatar!!!
Mbona kupinduana kwa waarabu ni mambo ya kawaida tu au umetoka usingizini au unazungumzia mapinduzi ya ushoga?Waarabu sio kwamba wameshika dini ili wanaogopa wananchi wao kubadilika wafanye mapinduzi
Wamekosea kitu kimoja kuacha mashabiki wakike na kiume na kuchangamanaMashabiki waliokwenda QATAR kwa ajili ya kuzishangilia timu za Mataifa yao wametakiwa kuvaa vizuri na kujisitiri haswa maeneo nyeti ya miili yao, pia wameaswa kuwa michoro ya mwilini yani ‘Tattoo’ haitakiwi kuonekana maana ile sio nguo.
Kingine ni kuwa mtu yotote atakayeingia kutizama michezo ya Fainali hizo asiwe kalewa pombe au dawa za kulevya, hili ni kosa kisheria kwa nchi ya QATAR.
Chupa, vikombe, makopo au vitu vyovyote vinavyoweza kurushwa na kuumiza mtu haviruhusiwi viwanjani, pia vyakula vya aina zote haviruhusiwi labda tu awe amebebewa mtoto.
Vuvuzela zimepigwa marufuku na vitu vingine kama maputo havitoruhusiwa.
Taratibu zimeanza kutumia tangu jana Jumapili (Novemba 20) wakati wa mchezo wa Ufunguzi kati ya Wenyeji QATAR ambao walikubali kuchapwa Bakora 2-0 dhidi ya Ecuador.
Naona mashekhe wameduwaa kuangalia kigoli cha ki Croatia.Hizi sheria zenu bado zinafanya kazi?
![]()
Naona mashekhe wameduwaa kuangalia kigoli cha ki Croatia.
Wao si wanawafunika vitambala wanawake wao.
Waache wateseke.