Kombe la dunia tuko live

Kombe la dunia tuko live

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
3,876
Reaction score
7,118
Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani, Morgan Freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha

Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu vuta popcorn za kutosha[emoji897]
20221120_174758.jpg
 
Hivi ilikuwaje Azam hawakushinda hiyo zabuni.

Sasa mechi 28 ni zipi?
Hawajaweka wazi ni mechi zipi lakini nadhani ni zile mechi kubwa kubwa tu kama hii ya ufunguzi

Kesho Senegal na Netherlands wataonesha
 
Back
Top Bottom