Kombe la dunia tuko live

Kombe la dunia tuko live

TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.

Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
FIFA hua na kawaida ya kutoa bure haki ya kurusha matangazo ya world cup kwenye vyombo vya habari vya kitaifa.

Kwa mfano ukiangalia KBC, UBC, Rwanda TV ZBC vyote vinarusha matangazo ya moja kwa moja.
 
Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini marekani Morgan freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha

Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu vuta popcorn za kutosha[emoji897] View attachment 2422355
Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu...

Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990?

Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
 
Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu...

Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990?

Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
Hawawezi kuonyesha kwa quality kwa sababu na wao wanachukua sehemu

Siku zote cheap is expensive
 
Back
Top Bottom