Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
- #21
Bongo kila kitu wanapuuzia tuTCRA watakaa kimya,watalipotezea Kama vile hamna jambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kila kitu wanapuuzia tuTCRA watakaa kimya,watalipotezea Kama vile hamna jambo.
Lipia kifurushi Mkuu, hizo nic biashara za watu , tutalaumu government bure lakini mwisho wa siku government inataka Kodi kutoka kwa hizo campuni, unadhani bila kulipia vifurushi hizi campuni zitaweza vipi kulipa Kodi kwa serikali??Kweli wamekata hapa
Ziku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!Lipia kifurushi Mkuu, hizo nic biashara za watu , tutalaumu government bure lakini mwisho wa siku government inataka Kodi kutoka kwa hizo campuni, unadhani bila kulipia vifurushi hizi campuni zitaweza vipi kulipa Kodi kwa serikali??
Startimes TBC 1 wamekata?Lipia kifurushi Mkuu, hizo nic biashara za watu , tutalaumu government bure lakini mwisho wa siku government inataka Kodi kutoka kwa hizo campuni, unadhani bila kulipia vifurushi hizi campuni zitaweza vipi kulipa Kodi kwa serikali??
Ni ujanja wa kupata pesa ila hawajatenda haki kwa kweliZiku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!
Nani unampa Chance ya kushinda mkuu...Qatar au EcuadorTupo pamoja...
Qatar kwa vile nina watu wengu kule...Nani unampa Chance ya kushinda mkuu...Qatar au Ecuador
Mimi naona Qatar anafungwa hatoboi leo
TCRA watakaa kimya,watalipotezea Kama vile hamna jambo
Ngoja tuone mkuuQatar kwa vile nina watu wengu kule...
Mkuu haya mambo mwisho wa siku kila mtu anataka apate faida kila mtu anavutia upande wakeKwani kati ya TBC na Azam TV ni yupi alieanza kuvunja makubaliano?
Local channel ni kwaajili ya habari na muziki, sio kurusha matangazo ya michezo.
Ziku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!
Mkuu haya mambo mwisho wa siku kila mtu anataka apate faida kila mtu anavutia upande wake
Mkuu TBC Ni chombo Cha umma kinaendeshwa na fedha za Umma. Na nikwaida kwa vyombo vya umaa kuonyesha mechi za kombe la dunia na nadhani kuna punguzo huwa wanapewa kuliko vyombo vya binafsi amavyo ni bussnesa oriented.TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.
Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
Kweli kabisa,Tbc wame target matangazo nimemuona mandonga mtu kazi kaonyeshwa[emoji28]TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.
Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
Wamekata umeme...duh pole mkuuNi kweli kabisa, tatizo ni hawa Tanesco sasa.