Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu vuta popcorn za kutosha[emoji897] View attachment 2422355
Pole sana mkuu[emoji28][emoji28]Tv, popcorn kila kitu kipo hapa tayari. Kipengele ni umeme sasa..
Wanataka mlipie mkuuAzam tv wamekata tbc kwa ambaye hajalipia kifurushi wakati ni chanel ya bure,hii si haki kwasababu mkataba wao wa kurusha matangazo haukuwa hivi
Wafunge chanel zote za bure mpk utv wanaziacha za nini?!wanakera sanaWanataka mlipie mkuu
TBC1StarTimes ni chanel ipi? Niangalie FIFA
Kweli wamekata hapaTBC1
Tafuta alternative mkuuWafunge chanel zote za bure mpk utv wanaziacha za nini?!wanakera sana
Pole mkuuKweli wamekata hapa
Ngoja nilipie tu cha 23000,tcra hakuna kitu kabisaaaTafuta alternative mkuu
Lipia ila tbc wamesema wataonesha mechi 28 tu kwenye TVNgoja nilipie tu cha 23000,tcra hakuna kitu kabisaaa
Lipia ila tbc wamesema wataonesha mechi 28 tu kwenye TV
Halafu mechi 64 zote watatangaza kwenye radio
Hawajaweka wazi ni mechi zipi lakini nadhani ni zile mechi kubwa kubwa tu kama hii ya ufunguziHivi ilikuwaje Azam hawakushinda hiyo zabuni.
Sasa mechi 28 ni zipi?