Kombe la dunia tuko live

TCRA watakaa kimya,watalipotezea Kama vile hamna jambo
 
Lipia kifurushi Mkuu, hizo nic biashara za watu , tutalaumu government bure lakini mwisho wa siku government inataka Kodi kutoka kwa hizo campuni, unadhani bila kulipia vifurushi hizi campuni zitaweza vipi kulipa Kodi kwa serikali??
Ziku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!
 
Startimes TBC 1 wamekata?
 
Ziku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!
Ni ujanja wa kupata pesa ila hawajatenda haki kwa kweli
 
TCRA watakaa kimya,watalipotezea Kama vile hamna jambo

Kwani kati ya TBC na Azam TV ni yupi alieanza kuvunja makubaliano?

Local channel ni kwaajili ya habari na muziki, sio kurusha matangazo ya michezo.
 
Mkuu haya mambo mwisho wa siku kila mtu anataka apate faida kila mtu anavutia upande wake
 
Ziku zingine zote hii chanell huwa ni bure. Sasa kwaini wakate leo. Lakini pia huo ni wizi kwakuwa waliolipia ni TBC ambacho ni kituo Cha Umma. Lakini Azam wanataka kutumia hilo kuingiza kipato. Nadhani huu ni wizi wa mchana kweupe kabisa!

TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.

Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
 
Mkuu TBC Ni chombo Cha umma kinaendeshwa na fedha za Umma. Na nikwaida kwa vyombo vya umaa kuonyesha mechi za kombe la dunia na nadhani kuna punguzo huwa wanapewa kuliko vyombo vya binafsi amavyo ni bussnesa oriented.
 
TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.

Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
Kweli kabisa,Tbc wame target matangazo nimemuona mandonga mtu kazi kaonyeshwa[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…