Kombe la dunia tuko live

TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi.

Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam.
FIFA hua na kawaida ya kutoa bure haki ya kurusha matangazo ya world cup kwenye vyombo vya habari vya kitaifa.

Kwa mfano ukiangalia KBC, UBC, Rwanda TV ZBC vyote vinarusha matangazo ya moja kwa moja.
 
Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu...

Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990?

Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
 
Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu...

Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990?

Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
Hawawezi kuonyesha kwa quality kwa sababu na wao wanachukua sehemu

Siku zote cheap is expensive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…