KOMBE LA KINA MAMA KUENDELEA KESHO

KOMBE LA KINA MAMA KUENDELEA KESHO

Weeeeeeeeeeeeeee...!! Acha kulinga nisha Yanga na vitu vya hovyo hovyo..!! Watu gani nyie ndani ya dakika 90 na za nyongeza juu bado hamkuwa na shuti hata moja lililolenga goli..!!! Mbumbumbu kabisa..!! Ngada zinawaharibu
Kikosi cha billion 7 kinakosa hata shot off target moja dakika 95
 
Huku ni kuchanganyana, tuchukue lipi sasa kati ya kombe la wamama, kombe la rede, kombe la loosers au ndondo cup shirikisho ?

Habari za sold out hakuna tena, imekuwaje this time?

Kina Mangungo and company ndo chanzo cha kukosa shots on target! Watupishe.
 
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Wakati mnashiriki mlikuwa wamama?
 
Wamama pia huwa wana tofauti, kuna mama aliefika fainali na yule mama asie hata na shot on target moja!

Kesho ndo tutaona jinsi kombe la wamama lilivyo gumu kutoboa makundi!!
😁😁😁 Khaaa
 
Haya ni marudio huko unakopita tulishapita hakuna jipya bwana chura.
Ila misemo ya wahenga huwa ina maana kubwa sana. 1 . Mpanda ngazi hushuka 2. Mzarau Mwiba humchoma 3. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.

NINAKUMBUKA JINSI SIMBA MLIVYOKUWA MNAPIGA VIGELEGELE VYA KISHAMBENGA KULIDHARAU KOMBE LA SHIRIKISHO.

LEO KIKO WAPI SASA!!!
 
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Povu
 
Ukiujua mpira vizuri wala usingesema hayo,furahia wakati uliopo.
 
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Wajukuu wa mzee Hashim Spunda Rungwe, A.K.A wala wali na maharage ktk kuhamasishana kwenda kutoa sare ya 1 - 1
 
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Mwaka Jana wakati mnashiriki kombe LA wamana waliwapiga mande Mara ngapi!?
 
Back
Top Bottom