princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Kichwa kikiwa kimejaa mavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wapo vizuri kwa sasa ,hilo sijawahi kubisha, mimi ni mtu wa mpira kitambo nafahamu.Huku ni kuukubali mziki wa Yanga..!!!
Kikosi cha billion 7 kinakosa hata shot off target moja dakika 95Weeeeeeeeeeeeeee...!! Acha kulinga nisha Yanga na vitu vya hovyo hovyo..!! Watu gani nyie ndani ya dakika 90 na za nyongeza juu bado hamkuwa na shuti hata moja lililolenga goli..!!! Mbumbumbu kabisa..!! Ngada zinawaharibu
Wakati mnashiriki mlikuwa wamama?Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Wamama pia huwa wana tofauti, kuna mama ngangari aliefika fainali na yule mama mdebwedo asie hata na shot on target moja!Wakati mnashiriki mlikuwa wamama?
😁😁😁 KhaaaWamama pia huwa wana tofauti, kuna mama aliefika fainali na yule mama asie hata na shot on target moja!
Kesho ndo tutaona jinsi kombe la wamama lilivyo gumu kutoboa makundi!!
Tushafanya mpaka ya kulenga nnyaa yakoJe mmefanya mazoezi ya kulenga shabaha?,(kulenga goli)
Ila misemo ya wahenga huwa ina maana kubwa sana. 1 . Mpanda ngazi hushuka 2. Mzarau Mwiba humchoma 3. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.Haya ni marudio huko unakopita tulishapita hakuna jipya bwana chura.
Haaa! bado kidogo tushuhudie mbungiTushafanya mpaka ya kulenga nnyaa yako
PovuKama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Ukiujua mpira vizuri wala usingesema hayo,furahia wakati uliopo.Ila misemo ya wahenga huwa ina maana kubwa sana. 1 . Mpanda ngazi hushuka 2. Mzarau Mwiba humchoma 3. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.
NINAKUMBUKA JINSI SIMBA MLIVYOKUWA MNAPIGA VIGELEGELE VYA KISHAMBENGA KULIDHARAU KOMBE LA SHIRIKISHO.
LEO KIKO WAPI SASA!!!
Mpira hauna huruma wewe mbumbumbu timu lako likifanya vibaya utachekwa na kudharauliwa sanaaaaUkiujua mpira vizuri wala usingesema hayo,furahia wakati uliopo.
Wajukuu wa mzee Hashim Spunda Rungwe, A.K.A wala wali na maharage ktk kuhamasishana kwenda kutoa sare ya 1 - 1Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Matusi ya nini ngoja nikutupie ignore tuMpira hauna huruma wewe mbumbumbu timu lako likifanya vibaya utachekwa na kudharauliwa sanaaaa
Mwaka Jana wakati mnashiriki kombe LA wamana waliwapiga mande Mara ngapi!?Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho