Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

Mechi za kiushindan zinaanza tarehe tisa kwenye ngao ya jamii hili Leo ni bonanza tuuu weken hakiba ya maneno Muda utaongea
 
Kaizer Chief mlicheza nao kwenye bonanza lakini sisi tulicheza nao kwenye michuano mikubwa Africa tukawafunga 3 bila kabla ya kuandika Fanya utafiti
 
Watu tulitarajia maajabu ambayo hata Yanga SC wangeshtuka.

Imekuwa tofauti.

Baada ya mechi tukacheka na kutingisha vichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapiii??
 
Kwani walicheza kushindania kombe?Ile ilikuwa ni mechi ya kirafiki tu tusubiri kwenye ngap ya JAMII watakapocheza na Singida Fountain Gate ndio tutajua kama wamo ama hamna kitu
 
Umeandika vizuri ila umemkosea yule beki Mkameruni Yuko vizuri sana. High class defender Kwa nchi hii hakuna kama atacheza vile.
 
Timu hii siyo dhaifu kama unavyofikiria. Timu hii iliwatungua ZESCO utd ya hakina KAPUMBU mara mbili katika ligi yao . Hao hakina KAPUMBU ndiyo waliowapumbu na kuwafikisha kileleni mwaka juzi kwenye siku yenu. Usijisahulushe.
 
Ukiona wapinzani wanalalamika sana jua dawa imeingia hao keizer chiefs ile siku wamemchezesha hadi C.E.O bado mlikua mnahangaika tu kuwafunga.. na nakukumbusha hao keizer chiefs tulishakanda tatu bila sisi.
 
UJINGA BWANA.

UNAWEZA UKUTE HUJUI MAANA YA PRE SEASON.

NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MISULI.
AKILI.
PUMZI.
CHAKULA.
DAWA.
MATIBABU NK.

Miwili ya Wachezaji pale walipo ni migumu mno miwili itaanza kurudi KAWAIDA Baada ya week mbili.

Pre season si mbinu za mazoezi ya mchezo ni mbinu za mwili kuwa fiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…