Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

Pira Ottoman,
Ngoja niimbe kidogo

Baby
Onaaaaaanananaaaa
Baby
Onaaaaaananaaaaass
Baby
Onaananaaaaaaaaaa

Natabiri mwaka huu kuna timu itachukua ubingwa wa ligi kuu kabla haijamalizia mechu zake 10
 
Mi Simba lkn sijalidhishwa na team, tumecheza na team ya kiwango Cha chinii Sanaa! Jamaa hata Mbeya city wanawafunga tu. Miq tumepigwa kashapata ela zake Hana pressure na maisha ya soka anacheza kawaida sana,onana anawahi kukata motoo.

Mziki wa Azam na Yanga hatuuweziii. Chamaa kichwa kimejaa sifaa anajua lkn Hana msaada tenaaa. Tulipo pata mtu ni yule Bekii Jamaa ametuliaa!!

Hii style ya uandishi wa kuvuta maneno mfano 'sifaaa,tenaaa,ametuliaa,sanaaa, naonaga kama ni uandishi wa kitoto sana au kwakuwa humu tumo na watoto wa Sekondari pia.
 
UJINGA BWANA.

UNAWEZA UKUTE HUJUI MAANA YA PRE SEASON.

NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MISULI.
AKILI.
PUMZI.
CHAKULA.
DAWA.
MATIBABU NK.

Miwili ya Wachezaji pale walipo ni migumu mno miwili itaanza kurudi KAWAIDA Baada ya week mbili.

Pre season si mbinu za mazoezi ya mchezo ni mbinu za mwili kuwa fiti.
Wacha kutudanganya wewe na kujiona unajua. Hakuna kitu kama hiko. Hayo mazoezi magumu ya preseqson yawe kwa wachezaji wa Simba tu? Wao ndio wameathiriwa na pre season? Mbona jana Man City na Arsenal wamecheza very competetive game? Mbona Yanga na Kaizer nao walicheza competetive game? Mbona timu za EPL kwenye ile ligi yao ya America walicheza competetive games? Wacha blah blah pale hamna timu. Ni average timu with avarege players basi na sio hizi abracadabra zako.
 
Kama umeweza kuandika,basi mim na wew sote ni watoto. Kichwa kichwa chako kinawaza style tu mda wote punguzaa Kugongwa kunamaisha zaidi ya jukumu Hilo.
Hii style ya uandishi wa kuvuta maneno mfano 'sifaaa,tenaaa,ametuliaa,sanaaa, naonaga kama ni uandishi wa kitoto sana au kwakuwa humu tumo na watoto wa Sekondari pia
 
Hata aliyefunga goli la kwanza (Nimemsahau jina lake) hana technical attribute za kucheza mechi kubwa kama vs YANGA SC,
Basi kocha atawapangia Kibu. Au naye hana attribute za kucheza mechi dhidi ya Yanga? 🤣 🤣 🤣

1691400253273.png

anga?
 
Ukiona wapinzani wanalalamika sana jua dawa imeingia hao keizer chiefs ile siku wamemchezesha hadi C.E.O bado mlikua mnahangaika tu kuwafunga.. na nakukumbusha hao keizer chiefs tulishakanda tatu bila sisi.
Hivi yule Kramo mmemleta aje kuchukua nafasi ya Sadio?
 
Back
Top Bottom