Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Simba lkn sijalidhishwa na team, tumecheza na team ya kiwango Cha chinii Sanaa! Jamaa hata Mbeya city wanawafunga tu. Miq tumepigwa kashapata ela zake Hana pressure na maisha ya soka anacheza kawaida sana,onana anawahi kukata motoo.
Mziki wa Azam na Yanga hatuuweziii. Chamaa kichwa kimejaa sifaa anajua lkn Hana msaada tenaaa. Tulipo pata mtu ni yule Bekii Jamaa ametuliaa!!
Hamna kitu pale. Ile ni sawa na Kawajense FC ya Mpanda Katavi. Hamna timu pale.Watu tulitarajia maajabu ambayo hata Yanga SC wangeshtuka.
Imekuwa tofauti.
Baada ya mechi tukacheka na kutingisha vichwa.
Usiwapangie watu maisha wewe kolo wizard.Hii style ya uandishi wa kuvuta maneno mfano 'sifaaa,tenaaa,ametuliaa,sanaaa, naonaga kama ni uandishi wa kitoto sana au kwakuwa humu tumo na watoto wa Sekondari pia.
Wacha kutudanganya wewe na kujiona unajua. Hakuna kitu kama hiko. Hayo mazoezi magumu ya preseqson yawe kwa wachezaji wa Simba tu? Wao ndio wameathiriwa na pre season? Mbona jana Man City na Arsenal wamecheza very competetive game? Mbona Yanga na Kaizer nao walicheza competetive game? Mbona timu za EPL kwenye ile ligi yao ya America walicheza competetive games? Wacha blah blah pale hamna timu. Ni average timu with avarege players basi na sio hizi abracadabra zako.UJINGA BWANA.
UNAWEZA UKUTE HUJUI MAANA YA PRE SEASON.
NI MAZOEZI MAGUMU MNO YA MISULI.
AKILI.
PUMZI.
CHAKULA.
DAWA.
MATIBABU NK.
Miwili ya Wachezaji pale walipo ni migumu mno miwili itaanza kurudi KAWAIDA Baada ya week mbili.
Pre season si mbinu za mazoezi ya mchezo ni mbinu za mwili kuwa fiti.
Hii style ya uandishi wa kuvuta maneno mfano 'sifaaa,tenaaa,ametuliaa,sanaaa, naonaga kama ni uandishi wa kitoto sana au kwakuwa humu tumo na watoto wa Sekondari pia
Basi kocha atawapangia Kibu. Au naye hana attribute za kucheza mechi dhidi ya Yanga? 🤣 🤣 🤣Hata aliyefunga goli la kwanza (Nimemsahau jina lake) hana technical attribute za kucheza mechi kubwa kama vs YANGA SC,
Watabadilika kutokana na mpinzani atakavyokujaVery average kwa kweli.....hakuna maajabu Kama ilivyotarajiwa......tukikutana na mechi inayohitaji bidii na tough opponent sijui itakuwajr
Hivi yule Kramo mmemleta aje kuchukua nafasi ya Sadio?Ukiona wapinzani wanalalamika sana jua dawa imeingia hao keizer chiefs ile siku wamemchezesha hadi C.E.O bado mlikua mnahangaika tu kuwafunga.. na nakukumbusha hao keizer chiefs tulishakanda tatu bila sisi.