Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nelly alishawai kuimba

Nini kinahitajika kuwa namba moja

Wa pili sio mshindi

Wa tatu hakuna anaemkumbuka

Ukiwa namba moja

Watakaa na kuiandika hata wakichukia

Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho).

Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja kuchukua caf mabingwa, zaidi zaidi tukifika mbali basi ni nusu fainali,

Uhakika zaidi upo kwenye shirikisho tu

Yanga na simba wajiengue mapema huko kwenye mabingwa, ataeleta kombe ndie aanze malengo mapya ya huko mabingwa.
 
Back
Top Bottom