Kombe la Mapinduzi 04/01/2016 : Yanga 2-0 Zimamoto (Full-time)

Kombe la Mapinduzi 04/01/2016 : Yanga 2-0 Zimamoto (Full-time)

Naona wanakabidhiwa azam malta
 
Leo sita hazipo zinaanza kupungua adi nusu fainal yanga itakua na sifuri mpira plan na ndo cmba wanachofnya
Sasa kama no tisa anacheza mahadhi anatoka anaingia oscar joshua kucheza no tisa unataka nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] katika dharau za Lwandamina hii ya leo kiboko yaani oscar joshua anacheza no tisa khaaa ipo siku barthez atacheza winga ya kushoto kakolanya winga ya kulia...afu eti halftime anapanga koni watu wanaanza kupasha khaaa
 
Aiyaaaaaa sasa hapo Raisi sheini ndo mnazidi kumchoma kumoyo tu wakuu
 
42cd96567e35f2e564e3e0ca903cae25.jpg
 
Naona pumzi imeanza kukata,hizo sub zote ni kuishiwa nguvu sasa.Nusu fainali anagongwa tu huyu chura.
 
Back
Top Bottom