ndemesi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 380
- 121
Kwan vipi matokeo kaka mbona naona adi msuva anakiri spidi imepungua au ndo plan ya kochaUngeuona mpira wanaocheza Yanga hapa Aman hayo maneno yasingekutoka Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan vipi matokeo kaka mbona naona adi msuva anakiri spidi imepungua au ndo plan ya kochaUngeuona mpira wanaocheza Yanga hapa Aman hayo maneno yasingekutoka Mkuu.
Subirini mkutane na MNYAMA aliejeruhiwaMashindano haya Yanga inafanya mazoezi kwa ajili ya club bingwa....si size yake
Anaweza kuwa Mnyama Nyiau MkuuSubirini mkutane na MNYAMA aliejeruhiwa
Sasa kama no tisa anacheza mahadhi anatoka anaingia oscar joshua kucheza no tisa unataka nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] katika dharau za Lwandamina hii ya leo kiboko yaani oscar joshua anacheza no tisa khaaa ipo siku barthez atacheza winga ya kushoto kakolanya winga ya kulia...afu eti halftime anapanga koni watu wanaanza kupasha khaaaLeo sita hazipo zinaanza kupungua adi nusu fainal yanga itakua na sifuri mpira plan na ndo cmba wanachofnya
Matopeni wakichukua inakuwa sio bonanza tena. Ndiyo vikombe vyao!mnashangilia hadi bonanza
Njooni kichwa kichwa kama kwenye fainali mliyokamuliwa na kina Boban, mkione![emoji2] [emoji2]Zamani mlikuwa mnaliita Bonge la kombe, leo kwa kuwa tumewafuata kuwafurusha mnaita bonanza.
Tunawafuata huko huko kudadadeki
Kwenye bonanza?Njooni kichwa kichwa kama kwenye fainali mliyokamuliwa na kina Boban, mkione! Shwain kabisa![emoji2] [emoji2]