Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kakimbia thread yake kisa anamuogopa yangaWapi mheshimiwa sembo
Wakishinda leo angalau tugoli tuwili ataibuka tu!Kkakimbia thread yake kisa anamuogopa yanga
Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu
Mbumbumbu ndiyo linafaa Sanaa. Natamani muro arudi
Halafu unapiga kelele! Timu yenyewe sijui inaitwaje vile..yaani haijulikani kbsa
Amejificha
Mambo Binti.. Naona umerejea kwa kasi sana.. Mmeshinda goli 6 sawa.. ila mmepata pointi ngapi??Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu
Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offsideWakishinda leo angalau tugoli tuwili ataibuka tu!
Yanga huwa hatupigi kelele sisi ni vitendo tu, nyie wenye maneno kama mademu wa vigodoro endeleeni kupiga mayoweMambo Binti.. Naona umerejea kwa kasi sana.. Mmeshinda goli 6 sawa.. ila mmepata pointi ngapi??
Kitu kinachonikera katika hii michuano.. ni sijui kwanini hua hawatuweki katika kundi moja??? Hizi kelele zisingekuwepo hadi sasa!!
Ila si mbaya tukutane nusu fainali kama mkifanikiwa.. maana Mnyama anaenda kuongoza kundi lake huku akimsubiri mshindi wa 2 wa kundi B.. ambae sidhani kama mnaweza ambulia hiyo namba 2.
Hii umeona ni point sana?!!! Pole!Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
Mmejaliwa kwa kupindisha maneno. Zile goli sita zina utata gani zaidi ya Yanga kunyimwa penati?Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offside
Ni tatizo sana Madeni FC
Kumbe hata ukipiga sita au tano ni point zile zile tatu?Hii umeona ni point sana?!!! Pole!
Nikuulize nyie mnaojiita mnaongoza ligi Mara yenu ya mwisho kutwaa ubingwa ni lini?
Kweli naona Ndala hua hampigi kelele ni vitendo tu.. Naona tu mayowe yako hapa chini kama wale wenzako wa kwenye vigodoro.. Vipi leo kigodoro wapi tukasherekee huu ushindi wetu wa goli 6?!Yanga huwa hatupigi kelele sisi ni vitendo tu, nyie wenye maneno kama mademu wa vigodoro endeleeni kupiga mayowe
Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu
Amejificha
Halafu unapiga kelele! Timu yenyewe sijui inaitwaje vile..yaani haijulikani kbsa
Mbumbumbu ndiyo linafaa Sanaa. Natamani muro arudi
Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu
Hii umeona ni point sana?!!! Pole!
Nikuulize nyie mnaojiita mnaongoza ligi Mara yenu ya mwisho kutwaa ubingwa ni lini?
Vyura FC..mnafanya nini kimataifa zaidi ya aibu tuu, miaka yote kazi kuishia round za mwanzo hadi keroYaani nyie mikia yenu ni makombe ya mbuzi tuu
Kimataifa wapo wenyewe...
lol mkuu upo sahihi simba ya sasa Ni makumbusho fc,Hanna jipyaVyura FC..mnafanya nini kimataifa zaidi ya aibu tuu, miaka yote kazi kuishia round za mwanzo hadi kero
Lakini mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni SSC michuano hiyo ameng'ata hadi nusu fainali na shirikisho (CAF) mpaka fainali.