Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu
 
Mbumbumbu ndiyo linafaa Sanaa. Natamani muro arudi

Halafu unapiga kelele! Timu yenyewe sijui inaitwaje vile..yaani haijulikani kbsa

Amejificha

Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu
Mambo Binti.. Naona umerejea kwa kasi sana.. Mmeshinda goli 6 sawa.. ila mmepata pointi ngapi??

Kitu kinachonikera katika hii michuano.. ni sijui kwanini hua hawatuweki katika kundi moja??? Hizi kelele zisingekuwepo hadi sasa!!

Ila si mbaya tukutane nusu fainali kama mkifanikiwa.. maana Mnyama anaenda kuongoza kundi lake huku akimsubiri mshindi wa 2 wa kundi B.. ambae sidhani kama mnaweza ambulia hiyo namba 2.
 
Yani unashinda kwa goli mbili tena moja kwenye kombe la mapinduzi la mwaka 2017 kweli?
Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
 
Wakishinda leo angalau tugoli tuwili ataibuka tu!
Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offside

Ni tatizo sana Madeni FC
 
Mambo Binti.. Naona umerejea kwa kasi sana.. Mmeshinda goli 6 sawa.. ila mmepata pointi ngapi??

Kitu kinachonikera katika hii michuano.. ni sijui kwanini hua hawatuweki katika kundi moja??? Hizi kelele zisingekuwepo hadi sasa!!

Ila si mbaya tukutane nusu fainali kama mkifanikiwa.. maana Mnyama anaenda kuongoza kundi lake huku akimsubiri mshindi wa 2 wa kundi B.. ambae sidhani kama mnaweza ambulia hiyo namba 2.
Yanga huwa hatupigi kelele sisi ni vitendo tu, nyie wenye maneno kama mademu wa vigodoro endeleeni kupiga mayowe
 
Zulu aka Mkata umeme ni sumu aisee sijui itakuaje huyu kijana akizoeana na Niyo na T.S. Kamusoko pale middle itakuaje
 
Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
Hii umeona ni point sana?!!! Pole!
Nikuulize nyie mnaojiita mnaongoza ligi Mara yenu ya mwisho kutwaa ubingwa ni lini?
 
Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offside

Ni tatizo sana Madeni FC
Mmejaliwa kwa kupindisha maneno. Zile goli sita zina utata gani zaidi ya Yanga kunyimwa penati?
 
Hii umeona ni point sana?!!! Pole!
Nikuulize nyie mnaojiita mnaongoza ligi Mara yenu ya mwisho kutwaa ubingwa ni lini?
Kumbe hata ukipiga sita au tano ni point zile zile tatu?
 
Yanga huwa hatupigi kelele sisi ni vitendo tu, nyie wenye maneno kama mademu wa vigodoro endeleeni kupiga mayowe
Kweli naona Ndala hua hampigi kelele ni vitendo tu.. Naona tu mayowe yako hapa chini kama wale wenzako wa kwenye vigodoro.. Vipi leo kigodoro wapi tukasherekee huu ushindi wetu wa goli 6?!
Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu

Amejificha

Halafu unapiga kelele! Timu yenyewe sijui inaitwaje vile..yaani haijulikani kbsa

Mbumbumbu ndiyo linafaa Sanaa. Natamani muro arudi

Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu

Hii umeona ni point sana?!!! Pole!
Nikuulize nyie mnaojiita mnaongoza ligi Mara yenu ya mwisho kutwaa ubingwa ni lini?
 
Yaani nyie mikia yenu ni makombe ya mbuzi tuu
Kimataifa wapo wenyewe...
 
Vyura FC..mnafanya nini kimataifa zaidi ya aibu tuu, miaka yote kazi kuishia round za mwanzo hadi kero

Lakini mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni SSC michuano hiyo ameng'ata hadi nusu fainali na shirikisho (CAF) mpaka fainali.
 
L

lol mkuu upo sahihi simba ya sasa Ni makumbusho fc,Hanna jipya
 
Back
Top Bottom