Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
Nilidhani utaimba ule wimbo wenu wa umbea "wamenunua. "
 
Hajajibu suali langu... Nakubandika suali lingine hivi Msimbazi na Jangwani wapi kuna matope kiasi ambapo Vyura hupatikana ..?!
Unaonekana wewe ni mgumu kuelewa mkuu
 
Unaonekana wewe ni mgumu kuelewa mkuu
b965b27d79a93efb539e7c7ad93ce58c.jpg
Jibu suali mkuu povu la nini...!? Mbona unapuyanga tuu.!
 
b965b27d79a93efb539e7c7ad93ce58c.jpg
Jibu suali mkuu povu la nini...!? Mbona unapuyanga tuu
Povu mnatoa nyie msiejiamini na goli la jana limesemwa na wengi, kweli mnaelekea kubaya.

Yaani mmeshindwa kuwafunga goli la halali mambumbumbu wenzenu , hii kweli ni shida
 
Yanga hua hawana timing na hili kombe.Hua wanaanza kwa nguvu na mbwe mbwe nyingiii ila wakifika kwenye hatua muhimu zaidi wanarudi wanapostahili. Ngoja tuuone mwisho wa hizi goli sita za juzi
 
Mpaka sasa yanga anaongoza bao mbili kwa bila dhidi ya zima moto. Dkika ya 20 msuva katupia la pili
 
Naomba link inayoonyesha mapinduzi cup oline tafadhali
 
Yanga 6-0 Jamhuri
Mkuu.. na leo tunahitaji utupe matokeo.. vipi mmeshinda tena 6?
Yanga, hii sasa sifa! Hakuna namna nyingine ya kuelezea.
Mkuu bado hakuna namna nyingine ya kuwaelezea Ndala... au umeshapata namna ya kuwaelezea?
Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu
Binti kwenu ndala ni magoli tu.. vipi na leo mmeshinda magoli 6?
Yani unashinda kwa goli mbili tena moja kwenye kombe la mapinduzi la mwaka 2017 kweli?
Vipi leo mmeshinda zaidi ya goli mbili katika kombe la mapinduzi la mwaka 2017?

Wakishinda leo angalau tugoli tuwili ataibuka tu!
Mkuu leo naona hujaibuka.. vipi kwani hamjafunga angalau tugoli tuwili?
Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu
Mkuu.. Leo mmewabugiza goli ngapi wazenji.. nao ni 6 au mmepunguza dozi??
 
Mkuu.. na leo tunahitaji utupe matokeo.. vipi mmeshinda tena 6?

Mkuu bado hakuna namna nyingine ya kuwaelezea Ndala... au umeshapata namna ya kuwaelezea?

Binti kwenu ndala ni magoli tu.. vipi na leo mmeshinda magoli 6?

Vipi leo mmeshinda zaidi ya goli mbili katika kombe la mapinduzi la mwaka 2017?

Mkuu leo naona hujaibuka.. vipi kwani hamjafunga angalau tugoli tuwili?

Mkuu.. Leo mmewabugiza goli ngapi wazenji.. nao ni 6 au mmepunguza dozi??
Leo mbili zimetosha. Ni mechi moja. Mikia wamehitaji mechimbili kupata magoli mawili
 
Ila yule Lwandamina jeuri sana yaani kweli Oscar Joshua anampanga no 9[emoji23] [emoji23] [emoji23] ipo siku Barthez atacheza winga ya kushoto...then halftime eti anapanga koni wanaanza kupasha upya khaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati wa mechi hasimami ye yupo busy ana tweet tu khaa
 
Mkuu sembo naona mnalala na viatu leo, chupuchupu mmeambulia suluhu, mungu alikuwa upande wenu leo
 
Mkuu sembo naona mnalala na viatu leo, chupuchupu mmeambulia suluhu, mungu alikuwa upande wenu leo
then mkuu,kama jamaa wamedraw inakuaje? watacheza na nan lin? kuhus nusu fainali inakuaje.dah ila pole yao,yanga tunaendlea kupeta
 
Mkuu sembo naona mnalala na viatu leo, chupuchupu mmeambulia suluhu, mungu alikuwa upande wenu leo
Mkuu ni mbinu tu ya Mchezo tuliyoamua kucheza Jana.. Tegemea kuiona Simba tofauti kabisa katika hatua ya nusu na fainali ambapo tutakabidhiwa kombe letu.
 
Back
Top Bottom