Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Nilidhani utaimba ule wimbo wenu wa umbea "wamenunua. "Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani utaimba ule wimbo wenu wa umbea "wamenunua. "Nyie mnaoshinda goli sita au zaidi katika kila mechi ndani ya michuano hii.. mmeshalichukua hili kombe Mara ngapi?
Unaonekana wewe ni mgumu kuelewa mkuuHajajibu suali langu... Nakubandika suali lingine hivi Msimbazi na Jangwani wapi kuna matope kiasi ambapo Vyura hupatikana ..?!
Unaonekana wewe ni mgumu kuelewa mkuu
Povu mnatoa nyie msiejiamini na goli la jana limesemwa na wengi, kweli mnaelekea kubaya.Jibu suali mkuu povu la nini...!? Mbona unapuyanga tuu![]()
La kwanza nani katupia?Mpaka sasa yanga anaongoza bao mbili kwa bila dhidi ya zima moto. Dkika ya 20 msuva katupia la pili
Yote katupia msuvaLa kwanza nani katupia?
Hivi fc liboroo ya wapiJibu suali mkuu povu la nini...!? Mbona unapuyanga tuu.!![]()
Mkuu.. na leo tunahitaji utupe matokeo.. vipi mmeshinda tena 6?Yanga 6-0 Jamhuri
Mkuu bado hakuna namna nyingine ya kuwaelezea Ndala... au umeshapata namna ya kuwaelezea?Yanga, hii sasa sifa! Hakuna namna nyingine ya kuelezea.
Binti kwenu ndala ni magoli tu.. vipi na leo mmeshinda magoli 6?Hawawezi kuja kbsa. Yanga wastaarabu daima hatuna kelele hapa magoli tu
Vipi leo mmeshinda zaidi ya goli mbili katika kombe la mapinduzi la mwaka 2017?Yani unashinda kwa goli mbili tena moja kwenye kombe la mapinduzi la mwaka 2017 kweli?
Mkuu leo naona hujaibuka.. vipi kwani hamjafunga angalau tugoli tuwili?Wakishinda leo angalau tugoli tuwili ataibuka tu!
Mkuu.. Leo mmewabugiza goli ngapi wazenji.. nao ni 6 au mmepunguza dozi??Huyo ingependeza tukutane nae fainali tumbugize sita ashike adabu
Leo mbili zimetosha. Ni mechi moja. Mikia wamehitaji mechimbili kupata magoli mawiliMkuu.. na leo tunahitaji utupe matokeo.. vipi mmeshinda tena 6?
Mkuu bado hakuna namna nyingine ya kuwaelezea Ndala... au umeshapata namna ya kuwaelezea?
Binti kwenu ndala ni magoli tu.. vipi na leo mmeshinda magoli 6?
Vipi leo mmeshinda zaidi ya goli mbili katika kombe la mapinduzi la mwaka 2017?
Mkuu leo naona hujaibuka.. vipi kwani hamjafunga angalau tugoli tuwili?
Mkuu.. Leo mmewabugiza goli ngapi wazenji.. nao ni 6 au mmepunguza dozi??
then mkuu,kama jamaa wamedraw inakuaje? watacheza na nan lin? kuhus nusu fainali inakuaje.dah ila pole yao,yanga tunaendlea kupetaMkuu sembo naona mnalala na viatu leo, chupuchupu mmeambulia suluhu, mungu alikuwa upande wenu leo