Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

Mfungwa hachagui jela wala adhabu. Anangojea hukumu akipewa anakwenda alikopangiwa. Umepangiwa kuwahi boti. Mmekimbia mpaka interview. Jifariji.

vipi wewe ndugu yangu! kwani wenzetu mtawahi usafiri wa barabara! niambie mtarudi na nini kutoka huko..

unanichekesha sana, hasa kwa kuwa hujui kipi kinachotarajia kukutokea.

Mwisho wa siku, "utakachojivunia pekee kutoka huko Zanzibar ni kupata bahati ya kumtoa Bingwa wa Kihistoria wa tanzania Bara kwenye michuano hiyo."
 
Aliyekubaka humjui basi utakuwa sugu weye.Ndio maana umezoeleka umekuwa jamvi la kila mtu.
Haikupasi kutumia lugha kali kiasi hicho Mkuu, hasira unapata wapi ungali umefuzu kuelekea fainali.

by the way! kuhus Jamvi la wageni.

Kama Jamvi la wageni amekuwa akikuwakilisha kimataifa kwa muada wa miaka 5 ungali upo hapa nyumbani ukipika, je wewe utakuwa jamvi la nani sasa?

ni swali gumu sana nimeuliza, sidhani kama unaweza lijibu kwa hoja kamilifu.
 
Mkuu!

Acha nikajiandae kupambana na wanaume ( Africa Champions League), huko ndiko wanaume walipo. sio hapa! ambapo hata wewe umeshindwa kubeba ndoo kwa muda wa miaka 5 sasa.

by the way! kumbe ulikuwa unazungumzia wanaume wa Zanzibar?

Huwa najiuliza kwanini CAF huwa wanachagua mwanaume wa 'Tanzania Bara' na kumuacha yule mwanaume wa 'Visiwani' ili akashiriki michuano ya wanaume wenzake?

au Manji huwa anawatumia MPESA 'akina 'Issa Hayatou', huenda ikawa ni kweli anatuma.

Issa hayatou huenda akawaYanga yule!
Mkuu kama wanaume wa Zenji wamekushinda.. utawaweza wanaume wa Africa kweli??
 
Mkuu naomba unisaidie kutofautisha kati ya wanaume wa 'Zenji' na wanaume wa 'Tanzania Bara'.

Mimi najitambua kama Mwanaume wa Tanzania Bara! mambo niliyokuwa nayafanya Bara kwa kipindi cha miaka 5 hii ya karibuni yana akisi nisemacho.

sidhani kama na wewe utajiita ni mwanaume wa Bara, endapo ukiniambia kuwa wewe ni mwanaume wa 'visiwani' sitakubishia. Kwa kuwa ni hadhi yako kuwa mwanaume bora kati ya wanaume bora dhaifu.
 
Simba Fc Vs Young Africans - Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2017 Zanzibar

Source: Utamu
 
Mkuu naomba unisaidie kutofautisha kati ya wanaume wa 'Zenji' na wanaume wa 'Tanzania Bara'.

Mimi najitambua kama Mwanaume wa Tanzania Bara! mambo niliyokuwa nayafanya Bara kwa kipindi cha miaka 5 hii ya karibuni yana akisi nisemacho.

sidhani kama na wewe utajiita ni mwanaume wa Bara, endapo ukiniambia kuwa wewe ni mwanaume wa 'visiwani' sitakubishia. Kwa kuwa ni hadhi yako kuwa mwanaume bora kati ya wanaume bora dhaifu.
Wewe umeshapigwa faster vya kutosha najua kunawaka moto kaa mahali ujipooze acha kujifariji kinafiki
 
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali!

Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo. ilipasa mmoja asonge mwingine abaki...( kwa namna yeyote ile) na ndio maana kwenye soka kukawekwa mikwaju ya penati.

Narudia tena! '' si kwamba ulistahili, bali ulibahatika''. (naomba tusibishane katika hili maana nitakuona si mjuzi wa soka ukiwa unabishana na watu kama akina Peter Shilton na Austin Eguavoen).
View attachment 457797 View attachment 457798
Maana imeonekana ndio nja pekee ambayo unayoweza kuitumia kikamilifu kumkimbia kaka 'ako. Yaani umeshindwa kabisa kuonyesha na kuthibitisha ukuu wako kwa kaka yako ndani ya dakika 90....haswa tangu enzi za mababu zile....

ila ukumbuke kuwa si kila sehemu, kuna uchochoro wa penati. Kaa ujue kuwa nakungoja kwenye ulingo wangu wa LigiKuu Tanzania Bara, ulingo ambao hakuna namna yeyote ya kukana kuwa mimi ndiye mfalme wa huo ulingo.

Nakupa pongezi pia kwa kuongeza ubora wa timu yako na kumpa shida sana mbabe wako Yanga SC kwa kumzuia ashindwe kukuchomeka vile vigoli vya ndani ya dakika 90. Kumbuka pia, pongezi hizi hazimaanishi kuwa u bora kwa sasa kuliko Yanga SC. Najua kwa sasa unafuraha sana na ushindi wa matuta, ila nina mimi binafsi nina ghababu sana ya kukosa ushindi wa dakika 90 kuliko wa penati,

sijilaumu kukosa nafasi ya kusonga mbele kwa njia ya Penati, najilaumu zaidi kwa nafasi ile ya dakika 90.

Acha nitangulie bara kuendelea na Mbio za kukimbiza kile ambacho kina thamani sana na 'Mimi'. Pengine kulikosa 'hiki' limesababishwa na hadhi ya jinsi 'hiki' kilivyo.

Nina uhakika utanifuata nyuma mikono mitupu kama kaka yako nitanguliavyo! una siku 2 na saa kadhaa kuamini hili. Kwa sababu nakujua vyema sana mdogo wangu.

Nakupa pongezi kwa kuniponyoka kupitia Mikwaju ya penati.
We jamaaa bado unaongea pumba zako umesahau ulisemaje mwanzon
 
Huyo pumba jazz band. Ni kifaa hasa.
Ni mtambo wa haja haswa.
 
LIGI KUU KWAKO IMEKUWA NGUMU SANA!

Hata mnasingizia kuwa Yanga SC huwaonga marefa wote wa VPL(huwa nawazaga sana hizi pesa zinatoka wapi), hiki ni kisingizio cha kuwafariji siku zote nawashauri msikiache .Endeleeni nako mpaka pale mkija kutwaa ubingwa.

lakini tambua kuwa siku 2 na masaa kadhaa yaliyobaki!
Kwan huko mnako kuita ligi kuu ni nani yuko kilelen?
 
Huyu jamaa na utabiri wake wa manjonjo bado tu hana aibu?Nilisema tulia uchukue hilo kombe,matokeo umeyaona.Yanga haitishi ila yanga ni TFF.Haki ikiwepo hata nafasi ya nane hushiki wewe.Timu siasa tu hiyo! Nyamaza kaoge,tumechoka shombo sie.
 
Kwani anayekuwa mkiani ndio huwa anakuwa bingwa?Au dunia yako ipo up side down?Anayekuwa kileleni ndio bingwa.
 
Nimekutafuna mtani hata ufanye nini matokeo hayabadiliki..
Naona unatafuta namna ya kujifariji,vuka maji nisubiri naja kukutafuna tena bara sitakagi ujinga kabisa....
Simba nguvu moja!!!
 
Kubishana na hawa Mikia FC ni kazi bure vyema kunyamaza.
 
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali!

Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo. ilipasa mmoja asonge mwingine abaki...( kwa namna yeyote ile) na ndio maana kwenye soka kukawekwa mikwaju ya penati.

Narudia tena! '' si kwamba ulistahili, bali ulibahatika''. (naomba tusibishane katika hili maana nitakuona si mjuzi wa soka ukiwa unabishana na watu kama akina Peter Shilton na Austin Eguavoen).
View attachment 457797 View attachment 457798
Maana imeonekana ndio nja pekee ambayo unayoweza kuitumia kikamilifu kumkimbia kaka 'ako. Yaani umeshindwa kabisa kuonyesha na kuthibitisha ukuu wako kwa kaka yako ndani ya dakika 90....haswa tangu enzi za mababu zile....

ila ukumbuke kuwa si kila sehemu, kuna uchochoro wa penati. Kaa ujue kuwa nakungoja kwenye ulingo wangu wa LigiKuu Tanzania Bara, ulingo ambao hakuna namna yeyote ya kukana kuwa mimi ndiye mfalme wa huo ulingo.

Nakupa pongezi pia kwa kuongeza ubora wa timu yako na kumpa shida sana mbabe wako Yanga SC kwa kumzuia ashindwe kukuchomeka vile vigoli vya ndani ya dakika 90. Kumbuka pia, pongezi hizi hazimaanishi kuwa u bora kwa sasa kuliko Yanga SC. Najua kwa sasa unafuraha sana na ushindi wa matuta, ila nina mimi binafsi nina ghababu sana ya kukosa ushindi wa dakika 90 kuliko wa penati,

sijilaumu kukosa nafasi ya kusonga mbele kwa njia ya Penati, najilaumu zaidi kwa nafasi ile ya dakika 90.

Acha nitangulie bara kuendelea na Mbio za kukimbiza kile ambacho kina thamani sana na 'Mimi'. Pengine kulikosa 'hiki' limesababishwa na hadhi ya jinsi 'hiki' kilivyo.

Nina uhakika utanifuata nyuma mikono mitupu kama kaka yako nitanguliavyo! una siku 2 na saa kadhaa kuamini hili. Kwa sababu nakujua vyema sana mdogo wangu.

Nakupa pongezi kwa kuniponyoka kupitia Mikwaju ya penati.
Hivi wewe unavuta bhangi?
 
Mkuu!

Omba radhi kwa kuenenda kinyume na kanuni za kimichezo.

haiwezekani useme Mapinduzi Cup ni shindano la wanaume alafu Klabu Bingwa Barani Afrika ni shindano la 'akina Dada!
Hii kaul tuliikataa toka mda, ulitumia nguv yote, ulichezesha kikoc chote why muanz kulinanga shindano? Upuuz huu
 
Back
Top Bottom