Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Nimesharudi Mkuu. Kwani Watani zangu mnateseka? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatuwezi teswa
FB_IMG_1546959750531.jpeg
 
Azam leo ataingia kwa hofu sana, anaweza kupoteza mchezo
 
Mtani ukimwona kuku kwa mganga jua kaponzwa na rangi yake.JS Soura waliponzwa na rangi ya jezi zao jana.
 
Back
Top Bottom