Hata mimi nakuunga mkonosimba bila kubebw akuna imachoweza kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nakuunga mkonosimba bila kubebw akuna imachoweza kufanya
Mimi ni Simba ,Azam walitubana,yule kipa alipofanya ule upuuzi tuta ikawekwa na goli ikafungwa nilitoka kwangu kuwakera mtaani kwamba mechi imeisha ,mechi ilikuwa 50/50 sikudanganyi yeyote alikuwa anafungwa,nilikaa kwa presha ,nilipoona ule ujinga wa kipa wa Azam nikasema nashukuru mechi imeisha,Ile ni clear na tv inacheza reply,labda waliopo uwanjani ndo wabishe maana wanaangalia no reply umegeuka nyuma unasikia foul hata hujaona.Yule kipa aliwacost azam 💯 ,Simba tulishakuwa na presha mechi ngumuMimi baada ya lile tuta ni kaondoka zangu Nyumbani. Yaani kipa kutoka nje ila anatabia za wacheza ndondo wa mitaani.
ile ni penati au siyo penati? Kama siyo penati eleza kwanini halafu tujadili Simba inabebwaje?Hata mimi nakuunga mkono
Kuna wengine sababu mpira hawajui, yaani pale hata kipa angepewa nyekundu ni sawa,sema refa kaamua kuwa fair kutoa tuta na kumwacha aendelee kucheza,kwani alicheza rafu ya kihuni na ya kipuuzi,ambayo imewagharimu Azam.Mimi ni Simba ,Azam walitubana,yule kipa alipofanya ule upuuzi tuta ikawekwa na goli ikafungwa nilitoka kwangu kuwakera mtaani kwamba mechi imeisha ,mechi ilikuwa 50/50 sikudanganyi yeyote alikuwa anafungwa,nilikaa kwa presha ,nilipoona ule ujinga wa kipa wa Azam nikasema nashukuru mechi imeisha,Ile ni clear na tv inacheza reply,labda waliopo uwanjani ndo wabishe maana wanaangalia no reply umegeuka nyuma unasikia foul hata hujaona.Yule kipa aliwacost azam 💯 ,Simba tulishakuwa na presha mechi ngumu
That was a mutual fair play.Hata kwenye biblia ya kikristo na katiba pia ya JMT imeandikwa"In case of danger you have a right to protect yourself" sasa haijaelezwa ujiprotect kwa kiwango.Ndo maana jamaa hapa amejadili recklessly speed ya Sakoh towards kwa golikipa and imagine keepa angeingia kingi pale leo wangekuwa wote mochwari.Ilisaidia sana keeper kujihami kimtindo ndo ikawa spidigavana kwa Sako.Pale refa alitakiwa kubalance mzani na kazi iendelee kutokana na pressure ya mchezo wenyeweile ni penati au siyo penati? Kama siyo penati eleza kwanini halafu tujadili Simba inabebwaje?
Kwahiyo mpira unachezeshwa kwa kufuata mafundisho ya biblia pamoja na maelekezo ya katiba ya JMT ?That was a mutual fair play.Hata kwenye biblia ya kikristo na katiba pia ya JMT imeandikwa"In case of danger you have a right to protect yourself" sasa haijaelezwa ujiprotect kwa kiwango.Ndo maana jamaa hapa amejadili recklessly speed ya Sakoh towards kwa golikipa and imagine keepa angeingia kingi pale leo wangekuwa wote mochwari.Ilisaidia sana keeper kujihami kimtindo ndo ikawa spidigavana kwa Sako.Pale refa alitakiwa kubalance mzani na kazi iendelee kutokana na pressure ya mchezo wenyewe
Huyu jamaa mleta uzi angekua Jaji Mahakamani angekua Jaji wa Michongo. Sheria inasema vingine yeye anaamua vingine.'Speed Ya Sakho Kuelekea Kwa Kipa ndio inayoonesha Sakho alikuwa na dhamira mbaya dhidi ya Kipa'...!
Ama Kweli Utopolo mnajua Jinsi ya Ku ' figure out' tukio mnataka Kiendane na mnavyotaka iwe.
Hamna namna Mapnduzi Cup 2022 Imeisha...! Ukitaka Kujiuliza tena ilikuwaje kuwaje ? basi jiandae Kwa 2023..!
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.
Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.
Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
Speed ya sakho ilikuwa ya mishale na mikuki si ndiyo,ndo maana akaweka mguu si ndiyoThat was a mutual fair play.Hata kwenye biblia ya kikristo na katiba pia ya JMT imeandikwa"In case of danger you have a right to protect yourself" sasa haijaelezwa ujiprotect kwa kiwango.Ndo maana jamaa hapa amejadili recklessly speed ya Sakoh towards kwa golikipa and imagine keepa angeingia kingi pale leo wangekuwa wote mochwari.Ilisaidia sana keeper kujihami kimtindo ndo ikawa spidigavana kwa Sako.Pale refa alitakiwa kubalance mzani na kazi iendelee kutokana na pressure ya mchezo wenyewe
Speed ya sakho ilikuwa ya mishale na mikuki si ndiyo,ndo maana akaweka mguu si ndiyo
Ile hahihitaji VAR moja kwa moja ni red card ,kipa amehatarisha afya ya mchezaji halafu unaleta upumbavu na ushabiki wako wa kijinga hapa
Kipa kama aliona kuna kuvaana pake angempa mwili na hiyo inaruhusiwa. Unampa mwili kwa kubana mikono kifuani ,sasa mtu anadaka mpira unanyenyua mguu juu ili umuumize mwenzako ili iweje
Wewe unaleta story za primary hapa kuwa kipa anaruhusiwa kukanyaga akiwa eneo lake
Ww utopolo tangu lini ukawa mchambuzi wa mpira hebu toa kwanza mwiko nyuma ndo uje tujadili kwa nn ulifungwa 9 na azamYuko sawa kivipi? Kwani sakho alitaka akimbie hadi wapi wakati tayari Alisha karibia kipa ambae tayari ameudaka mpira? Ni kitu gani ambacho kingemzuia kigonya asigongwe na sakho pale?
Hahahaha....eti km pundaMechi ya Simba na Azam Ila utopolo ndo mnajifanya wachambuzi wakati mlipigwa goli 9 mechi moja .
BTW Ile ni mechi inakwaje goal kipa wa Azam aweke mguu vile Kama punda
Jamaa unatetea vizuri hadi unashawishi kabisaKwahiyo angemwacha sakho amgonge? ALICHOKIFANYA KIGONYA KWA SAKHO NI NATURAL REFLEX TU KWA KILA KIUNGO CHA MWILI KUUEPUKA KUUMIZWA.MACHO, MIKONO NA MIGUU INATABIA YA KURESPOND HARAKA KAMA KUNA MOVEMENT AMBAZO NI HATARI KUELEKEA KWAKE.
He
Hakuna lolote utopolo tu anajitoa ufahamu,vinginevyo labda haijui soka na sheria zake!!!Jamaa unatetea vizuri hadi unashawishi kabisa