Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

Yuko sawa kivipi? Kwani sakho alitaka akimbie hadi wapi wakati tayari Alisha karibia kipa ambae tayari ameudaka mpira? Ni kitu gani ambacho kingemzuia kigonya asigongwe na sakho pale?
Screenshot_20220116-142831_Chrome.jpg

wewe utabaki kuwa Utopolo tu
 
Kwahiyo mpira unachezeshwa kwa kufuata mafundisho ya biblia pamoja na maelekezo ya katiba ya JMT ?

NB: Kwa sheria na kanuni za mpira wa miguu, kitendo kile kinaadhibiwa kwa penati KILA SIKU, KILA SAA, KILA DAKIKA.
Ile ni penati kama unafahamu au haufahamu sheria (za mpira).
Ni penati kama unapendezwa au kutokupendezwa na adhabu hiyo.

Sehemu pekee ambako tukio lile haliadhibiwi kwa penati, labda ni huko kwenye "pira biblia" au kwenye "pira katiba".
Kipa hakutakiwa kunyanyua mguu kiasi kile,ile ni recklessness na ni kosa.Self defense haitakiwi kumtumia nguvu kubwa zaidi ya adui au hatari iliyoko mbele yako.
 
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.

Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.

Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.

Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
Mimba kapigwa Azam , kichefu chefu na kutapika anatapika utopolo
 
Mechi ya Simba na Azam Ila utopolo ndo mnajifanya wachambuzi wakati mlipigwa goli 9 mechi moja .

BTW Ile ni mechi inakwaje goal kipa wa Azam aweke mguu vile Kama punda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.

Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.

Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.

Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
Huu muda ungeutumia kung'oa mwiko nyuma ingekuwa bora zaidi kuliko kuandika pumba kama hizi ambazo hazina faida yoyote katika tasinia ya mpira
 
Kwahiyo mpira unachezeshwa kwa kufuata mafundisho ya biblia pamoja na maelekezo ya katiba ya JMT ?

NB: Kwa sheria na kanuni za mpira wa miguu, kitendo kile kinaadhibiwa kwa penati KILA SIKU, KILA SAA, KILA DAKIKA.
Ile ni penati kama unafahamu au haufahamu sheria (za mpira).
Ni penati kama unapendezwa au kutokupendezwa na adhabu hiyo.

Sehemu pekee ambako tukio lile haliadhibiwi kwa penati, labda ni huko kwenye "pira biblia" au kwenye "pira katiba".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.

Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.

Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.

Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
Kwani kombe lipo jangwani au msimbazi?
Jibu Hilo swali ndo utajua kwanini umeandika ivo
 
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.

Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.

Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.

Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
Kujilinda ndio kosa, angemkwepa tu
 
Magoli ya Simba kwenye fainali na Azamu yapo sawa ila wachezaji wanaurakini fulani,sio bure. Morison Songea, Sakho Zanzibar
 
Bado unateseka hadi leo?
Utakufa na kisukari
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.

Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.

Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.

Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?
 
Kilochonishangaza, eti kocha wa Azam alishanhaa alipoona refa anatoa penalty
 
That was a mutual fair play.Hata kwenye biblia ya kikristo na katiba pia ya JMT imeandikwa"In case of danger you have a right to protect yourself" sasa haijaelezwa ujiprotect kwa kiwango.Ndo maana jamaa hapa amejadili recklessly speed ya Sakoh towards kwa golikipa and imagine keepa angeingia kingi pale leo wangekuwa wote mochwari.Ilisaidia sana keeper kujihami kimtindo ndo ikawa spidigavana kwa Sako.Pale refa alitakiwa kubalance mzani na kazi iendelee kutokana na pressure ya mchezo wenyewe
lakini uwanjani zinatumika sheria za mpira wa miguu, sio vifungu vya maandiko matakatifu. Biblia inasema mpende jirani yako, lakini ushindi unamkera jirani yako, pia inakataza uongo, lakini Morrison na Sakho wanapiga chenga za kudanganya, na hata Kagere alimdanganya Kigonya kwa kupiga upande mwingine
 
kipa alishadaka mpira ,hakukuwa na haja ya kutegesha mguuu, either angemkwepa Sakho na angeguswa Sakho anapata kadi na mpira unapigwa kuelekea upande wa Simba,alishadaka tayari ,mguu ulikuwa wa nini?
Kama mpira ulidhadakwa sakho alikuwa anaenda wapi kwa kukimbia? Mguu wa kigonya ni mrefu kiasi gani kiasi Cha kumfikia sakho? Inamaana Sako alikuwa anataka kumvaa kipa.
 
Hatari iliyokuwa mbele yake ilikuwa kubwa sana kama asingejilimda dhahama kubwa isiyoweza kukadiriwa ingemfika kipa. Haifahamiki sakho angemgonga kigonya sehemu gani na kigonya angeumia kiasi gani.
Kipa hakutakiwa kunyanyua mguu kiasi kile,ile ni recklessness na ni kosa.Self defense haitakiwi kumtumia nguvu kubwa zaidi ya adui au hatari iliyoko mbele yako.

Kuna wengine sababu mpira hawajui, yaani pale hata kipa angepewa nyekundu ni sawa,sema refa kaamua kuwa fair kutoa tuta na kumwacha aendelee kucheza,kwani alicheza rafu ya kihuni na ya kipuuzi,ambayo imewagharimu Azam.
Ingekuwa sawa refa asingechelea kutoa adhabu, ingekuwa straight penati na kadi, ukiona refa anaseek opinion ujue kulikuwa na tatizo.
 
Hatari iliyokuwa mbele yake ilikuwa kubwa sana kama asingejilimda dhahama kubwa isiyoweza kukadiriwa ingemfika kipa. Haifahamiki sakho angemgonga kigonya sehemu gani na kigonya angeumia kiasi gani.

Ingekuwa sawa refa asingechelea kutoa adhabu, ingekuwa straight penati na kadi, ukiona refa anaseek opinion ujue kulikuwa na tatizo.
Ile penati kaka 100%.
 
Jamaa unatetea vizuri hadi unashawishi kabisa
Hata jicho litafumba haraka sana kama inzi analikaribia jicho, mikono itakinga kama Fimbo inakaribia uso, miguu itakunyuka kama sakho anakaribia mwili wa kigonya. Eti kipa asubiri kwanza akumbwe na sakho ili watu waone kama ameumia au la, huu ni upuuzi wa kiwango Cha lami. Prevention is better than cure.
 
View attachment 2083655
wewe utabaki kuwa Utopolo tu
Hii ni tofauti kidogo, kigonya hakumpiga teke sakho ila sakho alikwenda kukutana na mguu wa kigonya ulionyanyuliwa. Yaani alicho kifanya kigonya ni kuweka hewani mguu wake na sakho akaukuta mguu akauvaa. Sakho alipaswa kupunguza speed ya kukimbia pale alipomkaribia kipa na hasa baada ya kuona mpira umeshadakwa 100% na kipa. Maana kama kipa angeutema ule mpira au mpira ungekuwa hewani sakho angekuwa sahihi kwenda kuvaana na kipa. Lakini sakho alitaka kumgonga kipa bila sababu ya msingi.
 
Sakho na Kanoute unaweza kujua kwanini hawakwenda timu za Ulaya kucheza mpira. Kanoute na sakho wanacheza mpira wa kulazimisha bila kujali afya za wachezaji wengine. Kama marefa wangekuwa fair hawa Wachezaji wangepata kadi nyekundu kila mechi.
 
Back
Top Bottom