University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Pole sana ndugu, utapata vidonda vya tumbo bure. Yanga anampiga Azamu VPLKwavile leo kuna game 2 zinazochezwa sambamba,na matokeo ndo hivi:Blackpool 0 - 2 Arsenal na Yanga 0 - 3 Azam.Basi kimahesabu leo Azam wamekuwa Arsenal,na Vyura FC ndo wamekuwa hao wengine.
Na matokeo haya naombea yatokee kwenye TPL siku wakikutana hivi karibuni.
Hapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.Pole sana ndugu, utapata vidonda vya tumbo bure. Yanga anampiga Azamu VPL
Mkuu kumbuka pia hiko kikosi ambacho unakiona ni kibovu kuliko hiki cha Yanga B. Simba imeshindwa kukifunga wameweza kulazimisha sare. Kwahiyo kwa muono wako unaona Azam ni wazuri zaidi kuliko Simba?Hapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.
Of course,hilo halina ubishi.Azam ni wazuri kuliko Simba.Ingawa si wazuri sana kwenye midfield.Mkuu kumbuka pia hiko kikosi ambacho unakiona ni kibovu kuliko hiki cha Yanga B. Simba imeshindwa kukifunga wameweza kulazimisha sare. Kwahiyo kwa muono wako unaona Azam ni wazuri zaidi kuliko Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa unamatatizo kiungo wa Azam Muda Ni mchezaji WA timu ya taifaOf course,hilo halina ubishi.Azam ni wazuri kuliko Simba.Ingawa si wazuri sana kwenye midfield.
Huo Uzuri wa Azam kuizidi Simba ni kipi? Embu nitajie kigezo ulichokitumia kuipa Azam huo uzuri/ ubora mbele ya Simba.Of course,hilo halina ubishi.Azam ni wazuri kuliko Simba.Ingawa si wazuri sana kwenye midfield.
EwaaaHapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.
Ngoja nikifundishe mpira...hao watoto wa Yanga wanacheza show game..labda kwako ndio mpira mzuri..ila wale makonki master wanacheza physical game tofautisha..Hapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.