Kombe la Mapinduzi Zanzibar:Yanga na azam fc leo 5/01/2019

Kombe la Mapinduzi Zanzibar:Yanga na azam fc leo 5/01/2019

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Hey members!!
Pata shika linaendelea uko kombe la mapinduzi Zanzibar ambapo YANGA SC wanakichapa na Rambaramba za Ice cream FC.
Azam FC wanapata bao la (1) kwanza kutoka kwa Chirwa dakika ya 33".
Azam FC tena wanajipatia bao la (2) kutoka kwa atta dakika ya 44"
Muda mapumziko dakika 45 za mwanzo.
Mpira unaendelea dakika ya 60" Chirwa anaifungia azam FC goli la 3.
Dakika ya 79 YANGA 0 Azam FC 3.
Dakika 90 zimeisha YANGA 0-Azam FC 3.
 
Kwavile leo kuna game 2 zinazochezwa sambamba,na matokeo ndo hivi:Blackpool 0 - 2 Arsenal na Yanga 0 - 3 Azam.Basi kimahesabu leo Azam wamekuwa Arsenal,na Vyura FC ndo wamekuwa hao wengine.

Na matokeo haya naombea yatokee kwenye TPL siku wakikutana hivi karibuni.
 
Pole sana ndugu, utapata vidonda vya tumbo bure. Yanga anampiga Azamu VPL
 
Hapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.
Mkuu kumbuka pia hiko kikosi ambacho unakiona ni kibovu kuliko hiki cha Yanga B. Simba imeshindwa kukifunga wameweza kulazimisha sare. Kwahiyo kwa muono wako unaona Azam ni wazuri zaidi kuliko Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course,hilo halina ubishi.Azam ni wazuri kuliko Simba.Ingawa si wazuri sana kwenye midfield.
 
Kule zenji tumeenda kutembea tu,sisi tunataka ubingwa wa TPL, Azam tunawasubilia Taifa
 
Hapa ameshindwa nini kumpiga?ikizingatiwa kikosi hiki cha mapinduzi cha Yanga kinacheza vizuri kuliko kile kingine.
Ngoja nikifundishe mpira...hao watoto wa Yanga wanacheza show game..labda kwako ndio mpira mzuri..ila wale makonki master wanacheza physical game tofautisha..
Azam anapigwa kwa mchina mapema...Zahera mjanja kawatazama Azam Jana ameshamaliza game...Yakubu na Morris wafupi watapata tabu sana mipira ya juu...Lile Kingue zito kama train...Kutinyue anapewa ninja yuko very fragile,Chirwa anapewa Dante,Ngoma anapitishiwa mercury juu ya goti na Kelvin..hawatufungi
 
watapata tabu sana
Screenshot_2019-01-06-08-17-36.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya magazeti
 
Attachments

  • IMG-20190106-WA0006.jpg
    IMG-20190106-WA0006.jpg
    41.6 KB · Views: 31
Back
Top Bottom