Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Chura ni yanga alieshindwa kujenga uwanja pale kwenye bwawa, watoke jery na yule mzee wakatafute chura msimbazi kisha atoke manar na ave dakika kumi kumi wakutane polisi msimbazi halafu ambae hataenda na chura abaki polisi tuone nani anaenda kuwekewa dhamana
 
Africa cup of nations imeanza jamani

Jibouti 0-3 Tunisia FT
Libya 1-1 Morocco FT
 
Back
Top Bottom