Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Mechi za ugenini yanga itafungwa zote, halafu za hapa nyumbani watatoa sate zote kwa hiyo watamaliza kundi wakiwa na point 3 then na hapo ndo utakuwa mwisho wao.
 
Kundi lina ahuweni ili tukikaza kama tulivyokomaa na wafereji wale na tulivyo wasimikia wabangubangu wale semi inatuhusu.
 
Chura hajitambui kabisa

Siyo kundi dhaifu bali ni kundi lisilo na waarabu wengi hivyo tutacheza mpira viwanjani na siyo nje ya viwanja kama ilivyo kwa fitina za waarabu.
Mkuu bado una imani hizo tu? Inamaana zile saba taifa stars alizokula kwa algeria nazo zilikuwa fitna?
 
Tatizo la CAF naliona kwenye ratiba, inakuwaje mechi zichezwe june na July wakati ligi za nchi nyingi zimeisha, match fitness wanaipata wapi
 
Hili tatizi la kutumia neno waarabu sio sawa maana kuna wapenzi hap wa Yanga ni waarabu. Kwanini msiseme nchi za North african au kama Algeria ni Algeria. Wao hawasemi tunacheza na waafrica wanasema Young African ya Tanzania.
 
Yanga timu nzuri sana mwaka huu wamejipanga vyema na uwezekano wa kushinda kwenye kundk kwa nafasi ya 1 au ya 2

Tatizo ni zile fitina tunazofanyiwa yanga ugenini hasa dakika za mwisho na za nyongeza..Watanzania tunawafanyia ukarimu wageni katika soka jambo ambalo ni zuri na la kuigwa

Tp mazembe pia wajipange sana kwa yanga hii ya msimu huu
 
Matokeo ya mpira huwa hawatabiri hivyo. TP Mazembe siyo ya kubeza, fainali inawahusu.
Mkuu sijawabeza Mazembe bali nimezungumza ukweli unaotokana na matokeo yao viwanjani kwa msimu huu. Hawako vizuri, wale walikuwa ni mabingwa wa Afrika na walienda kushiriki club bingwa dunia. Kutolewa kwao club bingwa Afrika siyo bahati mbaya bali walistahili kutolewa ni tofauti na Yanga. Wote ni mashahidi kuwa Yanga ni dakika ya mwisho ndiyo iliamua matokeo.

Sioni sababu ya Yanga kushindwa kusonga mbele kwenye hili kundi kwa kuhofia historia au majina ya timu alizo nazo kwenye kundi.
 
Mechi za ugenini yanga itafungwa zote, halafu za hapa nyumbani watatoa sate zote kwa hiyo watamaliza kundi wakiwa na point 3 then na hapo ndo utakuwa mwisho wao.

Ni kweli ndiyo ''trend'' mwendo wa timu za Tanzania halafu Yanga kuifunga timu kubwa kigogo bao 4 kwa bila hapa nyumbani Tanzania ni ngumu sana.

Timu za Tanzania zinatakiwa kuwa na uwezo wa kufunga mabao mengi nyumbani ili kufanya vizuri kimataifa.

Yanga itazifunga timu za Comoro, Madagascar , Shelisheli n.k lakini timu vigogo za Afrika ni ngumu sana.

Hapa mimi shabiki wa Azam FC, kwa Yanga SC naona timu nyonge ni Medeama Sporting Club ya Ghana iliyo katika nafasi ya nane hivi katika ligi kuu ya Ghana inayotokea maeneo kama ya timu ya Mtibwa FC ya Manungu, Mtibwa Morogoro. Soma habari motomoto toka Ghana hapo chini:

Medeama%20SC%202.JPG

Photo: Medeama Sporting Club of Ghana

Medeama draw Young Africans, MO Bejaia and TP Mazembe in Group of Death of CAF Confederation Cup
Published on: 24 May 2016

Medeama SC face tough matches on their CAF Confederation Cup Group stage debut after drawing MO Bejaia, Young Africans and TP Mazembe in Group B.

All three opponents of the Ghana FA Cup champions dropped out from the elite CAF Champions League.

The Tarkwa-based will be re-uniting with former coach Johannes Van der Pluijm who is now in charge of newly-crowned Tanzanian champions Young Africans.

They will also the Ghanaian quintet at last year's CAF Champions League TP Mazembe from DR Congo.

Medeama's other opponents are Algerian side MO Bejaia who eliminated Ghanaian side AshantiGold in the CAF Champions League first round qualifier.

The first round of matches will be played on 17 June.

Group A: MO Bejaia, Young Africans, TP Mazembe, Medeama

Group B: Etoile du Sahel, Kawkeb Marrakech, Ahli Tripoli, FUS Rabat

Source: Medeama draw Young Africans, MO Bejaia and TP Mazembe in Group of Death of CAF Confederation Cup - GHANAsoccernet.com
 
Bingwa mtetezi wa klub bingwa kuangukia Shirikisho kunatosha kabisa kuthibitisha kuwa hawako vizuri..
Lakini hata Yanga imeangukia shirikisho kutoka klabu bingwa, so nao tuseme hawako vizuri
 
Hahah! Mkuu hata mim nilitaka kumuuliza hivyohivyo naona hawa chura matopen sports club wanajitoa ufaham
Mkuu, vyura FC ni wale mnaoishi bondeni. Tangu lini ukamkuta chura kwenye barabara iliyo busy mjini kama Msimbazi Road? Lakini teremka kidogo tu na Twiga street kuelekea bondeni, utaanza kusikia kelele za chura, makao yoa ni jengo la klabu moja hivi na uwanja wa Kaunda.
 
Lakini hata Yanga imeangukia shirikisho kutoka klabu bingwa, so nao tuseme hawako vizuri
Kwani Yanga alikuwa bingwa mtetezi?

Hapo nimeongelea hali ya ubora wa aliyekuwa bingwa msimu uliopita. Nikimaanisha kuwa ubora aliokuwa nao mwaka jana siyo sawa na alio nao kwa sasa. Kwa maneno mazuri yuko daraja moja tu na Yanga.

Yanga wajipange tu mwaka wetu huu kunyanyua kwapa
 
Back
Top Bottom