Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

d6e3e519c633e335dd0d57dbe696bf3a.jpg
 
Uongo wa mchana!draw za makundi zitapangwa live leo saa moja usiku kupitia supersport live
 
Hili kundi lazima tuongoze, TP Mazembe siyo wazuri sana, wamefika hapo kwa kuchechemea sana.

Bingwa mtetezi wa klub bingwa kuangukia Shirikisho kunatosha kabisa kuthibitisha kuwa hawako vizuri.

Pia mmiliki wa timu bwana Katunzi kaingia kwenye mgogolo na serikali, hivyo hawako sawa.

Break ya kwanza kwa Yanga ni nusu fainali.
Hamna namna nyingine.
 
Uongo wa mchana!draw za makundi zitapangwa live leo saa moja usiku kupitia supersport live
Hahahahahaha uko sahihi mkuu, inategemea na eneo uliko, kijijini kwetu leo ndo wanaangalia nusu fainal ya uefa 2nd leg kati ya beyern na madrid
 
Kwa yanga hii ya sasa hivi Mikia Fc mnatakonda kwa maneno ya shombo tu ya Jerry Muro. Kwa kundi hilo hakuna ubishi kuwa yanga lazima aende next step hata kwa zile figisu za Angola .
 
Ndala kwisha kwisha kabisa ndembendembe kifo cha mende chaaaaaali
 
Hivi ile michuano ya liver nile cup aka Musonye Bonanza cup iliyeyukia wapi? Maana nakumbuka Chura Matopen sports club ilikuwa ashiriki yale mashindano kwa tiketi ya viti maalumu beby
 
kwa kundi hili yanga akikomaa anapita but lilie kundi B kuna al ahly ya libya na wale jamaa FUS rabat daah kule kwa moto sana
 
Hivi ile michuano ya liver nile cup aka Musonye Bonanza cup iliyeyukia wapi? Maana nakumbuka Chura Matopen sports club ilikuwa ashiriki yale mashindano kwa tiketi ya viti maalumu beby
Michuano ya nile besin mwaka huu yamefutwa kutokana na ukata
 
Kwakweli kundi ni ahueni kidogo kwa Yanga,wameepukana na waarabu ambao kisaikolojia tu wangepangiwa waarabu wengi, wangekua na hofu fulani kutokana na records zao na waarabu huko nyuma.Lakini hii isiwafanye wabweteke,timu zote hizi mpaka zifanikiwe kufika hatua hiyo ni kwamba zote ni BORA.Kila laheri WATANI zangu....
 
Back
Top Bottom