Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe wanaonekana sio tishio sana msimu huu.!Vyura fc kundi moja na mazembe
Mkuu bado una imani hizo tu? Inamaana zile saba taifa stars alizokula kwa algeria nazo zilikuwa fitna?Chura hajitambui kabisa
Siyo kundi dhaifu bali ni kundi lisilo na waarabu wengi hivyo tutacheza mpira viwanjani na siyo nje ya viwanja kama ilivyo kwa fitina za waarabu.
Mkuu hivyo ndivyo ving'amuzi venu(Matunguri) vinavyowadanganya?...kama nakuona ni jinsi gani roho inavyokuuma pole sanaSafari ya yanga mapema imeiva haina mjadala
Nyooo....[emoji15] wivu tu[emoji108]Safari ya yanga mapema imeiva haina mjadala
Mkuu sijawabeza Mazembe bali nimezungumza ukweli unaotokana na matokeo yao viwanjani kwa msimu huu. Hawako vizuri, wale walikuwa ni mabingwa wa Afrika na walienda kushiriki club bingwa dunia. Kutolewa kwao club bingwa Afrika siyo bahati mbaya bali walistahili kutolewa ni tofauti na Yanga. Wote ni mashahidi kuwa Yanga ni dakika ya mwisho ndiyo iliamua matokeo.Matokeo ya mpira huwa hawatabiri hivyo. TP Mazembe siyo ya kubeza, fainali inawahusu.
Mechi za ugenini yanga itafungwa zote, halafu za hapa nyumbani watatoa sate zote kwa hiyo watamaliza kundi wakiwa na point 3 then na hapo ndo utakuwa mwisho wao.
Lakini hata Yanga imeangukia shirikisho kutoka klabu bingwa, so nao tuseme hawako vizuriBingwa mtetezi wa klub bingwa kuangukia Shirikisho kunatosha kabisa kuthibitisha kuwa hawako vizuri..
Mkuu, vyura FC ni wale mnaoishi bondeni. Tangu lini ukamkuta chura kwenye barabara iliyo busy mjini kama Msimbazi Road? Lakini teremka kidogo tu na Twiga street kuelekea bondeni, utaanza kusikia kelele za chura, makao yoa ni jengo la klabu moja hivi na uwanja wa Kaunda.Hahah! Mkuu hata mim nilitaka kumuuliza hivyohivyo naona hawa chura matopen sports club wanajitoa ufaham
Kama kuna timu laini hapa Mbona siwaoni Mikia FC au Gor Mahia au Mbeya City Council FC? Acheni gubu...aliyeingia hatua hii hakuna mlainiKundi laini sana aise.
Kwani Yanga alikuwa bingwa mtetezi?Lakini hata Yanga imeangukia shirikisho kutoka klabu bingwa, so nao tuseme hawako vizuri