Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Sijakusoma ndgKwa 7bu wanacheza ndala:what:
we @MEANDU upo pamoja na Bantu lady wapi? acha maneno hayo ndugu yangu. suala la urafiki na bantu lady nlishasema huyu ni Chakula cha Simba Sports Club. sweet lady hbr dada? upo? haya kama kawaida yetu unaangalia mpira huku.... tunapiga story. nipo botswana dada kikazi naangalia game LAIVU bila chenga.