Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Kweli me nilinunua bundle ya airtel nikaunga nikaona ina shida tu. nimeamua nitumie wireless. inakwama sana. BDF wanapiga mpira wa faulo karibu na lango la yanga.
 
hii live stream ya azam inaboa balaa
 
ndio katupia

na hivi wako pungufu leo 3 zinawahusu

cc Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
we @MEANDU upo pamoja na Bantu lady wapi? acha maneno hayo ndugu yangu. suala la urafiki na bantu lady nlishasema huyu ni Chakula cha Simba Sports Club. sweet lady hbr dada? upo? haya kama kawaida yetu unaangalia mpira huku.... tunapiga story. nipo botswana dada kikazi naangalia game LAIVU bila chenga.

ahahahahahahaha hapa tunashangilia mpira tu haalafu wala sijui anaangalizia pande za wapi Komeo Lachuma
 
Back
Top Bottom