Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

Uto wana Wivu kweli yani mpaka kwa Namungo wameshindwa kukatiza kwenye huu Uzi kutoa pongezi.

Enewey! Nimesahau kumbe hapa tunazungumzia mapambano ya Kimataifa ambapo wao sio Sehemu yao ya kuongea hii. Wasubiri mechi za mapinduzi ndiyo zinazowahusu.

Hapa ni Simba na Namungo tu
 
83' Stephen Duah anaonyeshwa kadi ya njano upande wa Namungo FC

Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
 
Penatiiii kuelekea Namungo FC ngoja Tuone..!
 
84' Inapigwaaaa Penatiiii

Goooo laaaa, wanakosaaaaa golikipa anadaka bila wasiwasi

Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
 

Mandondocha wa MO bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…