Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii timu ya Angola ni Mwadui iliyochangamka
Wao 2_Sisi 6Ngap huko
Kwanin mkuu wapewe ushindi wa mezaniHii game Namungo alitakiwa kupewa ushindi wa mezani CAF wakaona aibu tu.
Waangola walifanya uhuni sana kule kwao, mpaka kupelekana kambi za jeshi sio poa.Kwanin mkuu wapewe ushindi wa mezani
Uto wana Wivu kweli yani mpaka kwa Namungo wameshindwa kukatiza kwenye huu Uzi kutoa pongezi.
Enewey! Nimesahau kumbe hapa tunazungumzia mapambano ya Kimataifa ambapo wao sio Sehemu yao ya kuongea hii. Wasubiri mechi za mapinduzi ndiyo zinazowahusu.
Hapa ni Simba na Namungo tu
Wameshalegea hao.84' Inapigwaaaa Penatiiii
Goooo laaaa, wanakosa golikipa anadaka bila wasiwasi
Cd de Agosto 2-6 Namungo FC