blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Mmhh... Embu ichunguzeni hiyo timu...Goals 5 uko
Nna wasiwasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh... Embu ichunguzeni hiyo timu...Goals 5 uko
Jaap! Kama Premier League, unanunua haki za matangazo vilabu vinapokea mrabaha. So Azam TV, Wasafi TV, Nyanza TV au Nicole TV zinanunua matangazo ya mechi husika watu wanaangalia timu zinanufaika.Hii itapendeza, hizi figisu za kijinga ziishe kabisa, Simba kule Nigeria nao walifanyiwa visa.
Hii maana yake mechi ijayo hao waangola washinde 5-0.Dakika 71'
CD De Agosto 2 - 6 Namungo FC
Afisa Habari wa Namungo FC alisema “Leo tutawakumbusha Angola kuwa sisi Tanzania ndio chanzo cha uhuru wao, hata wakirudi Angola watawapelekea elimu na kuwakumbusha WaAngola Tanzania ni nani.” via Clouds FM70' Namungo FC ni mwendo wa kuvuna mabao tu
Cd de Agosto 2-5 Namungo FC
Nimeona mahali kuna wachezaji wao watano wamewekwa karantini wamekutwa na Corona tulivyowapima.Hii timu ya Angola ni Mwadui iliyochangamka
Duhh.... Hawa jamaa sidhani kama watasubiri round ya pili...Kichuya anawekwa chini pembeni ya uwanja
72' Inapigwaaaa faulo Goooooooooooooooal Steven Seeeeeeey
Cd de Agosto 2-6 Namungo FC