Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

70' Namungo FC ni mwendo wa kuvuna mabao tu

Cd de Agosto 2-5 Namungo FC
 
71' Ametoka Sabilo na ameingia Kichuya upande wa Namungo FC
 
Hii itapendeza, hizi figisu za kijinga ziishe kabisa, Simba kule Nigeria nao walifanyiwa visa.
Jaap! Kama Premier League, unanunua haki za matangazo vilabu vinapokea mrabaha. So Azam TV, Wasafi TV, Nyanza TV au Nicole TV zinanunua matangazo ya mechi husika watu wanaangalia timu zinanufaika.
 
Kichuya anawekwa chini pembeni ya uwanja

72' Inapigwaaaa faulo Goooooooooooooooal Steven Seeeeeeey

Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
 
76' Namungo FC wakiwa na mtaji mkubwa wa mabao. Hakika Agosto watasimulia huko Angola

Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
 
Back
Top Bottom