Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

Kumbe ndio maana hawa jamaa walileta figisu zote zile kule kwao ili wapate ushindi wa mezani kwa kigezo cha Corona.
 
Ila baada ya hii match Namungo wajilinde sana dhidi ya maambukizi wakiwepo na simba maana yanaweza kuwakosti mbeleni
 
Dakika 90' + 3'

Mpira umekwisha hapa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam

CD De Agosto 2 - 6 Namungo FC
 
90+3'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa michuano ya kombe la Shirikisho Afrika

Wanakwenda Namungo, kwake Jafar lakini wanapoteza, wanamjaribu Agosto kumiliki kumtafuta Brian lakini wanapoteza Iddi anatuliza kwake Hamisi

Kwake Luis Gonzalez anapiga shutiiiiii, na inakuwa kona, inapigwa inaondoshwa

Naaaam mpira umekwishaaaa ambapo Namungo FC wanaibuka kwa mabao sita kwa mawili.

FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC

Ghazwat
 
Shukran kwa updates mkuu
 
Back
Top Bottom