naomba matokeo ya Simba na polisi Moro..
Dunnia ya sasa inakwenda na maslahi ndugu,kuna kipindi itv na dtv walikuwa wanaonesha ligi ya england na italy bure,badae wenye mpira wao wakabadilisha mfumo na watu kama ww wakalalamika sana...mpaka sasa virabu vinapata kipato kikubwa kupitia tv rights,wangetaka kukufurahisha ww wa kijjn ingekuaje..acha umbumbumbu
Wee lofa tu, hujui lolote. Haya mambo yanakwenda kwa hatua. Kichaa kama atadhani mechi huonyeshwa bure, lakini mwenye ufahamu atajua kuwa huwa warushaji wanavilipa vilabu. Uingereza walifanya hivyo ilikuvutia watazamaji na kujikusanyia mashabiki duniani ndipo wakaanza kuwauzia tv rights. hebu fikiria ligi kuu kwa misimu miwili ingekuwa inaendelea bila mechi za yanga kurushwa ingekuwaje? Watoto wanaochipukia nyakati hizo wasingeijua Yanga. Hizo stratergy za kuzuia eti ili watu wajae uwanjani ni ujinga mkubwa. Tumia kichwa kufikiri wewe mtoto!!
nashukuru Masuke kuonesha ustaarab. wanawake wa siku hizi tuwazoee ndugu yangu. mimi nimeshazoea kuitwa buzi,kikaragosi n.k wala sishangai. nasikitka tu kama mama mkwe wangu angejua naitwa hivi??? ni suala la makuzi si malezi. mi napokea matusi yote toa kwa bibie Bantu lady najua ni wapi sisi tunakutana na ktk mazingira gani. akina Makoye Matale sijui kama wanabariki haya maneno ya dhihaka ya dada yao kwangu.lakini hamna shida bado ntaonesha upendo kwake. nafurah kwa yanga kushinda leo na pia huko iendako baadaye ikashinde. sina ubaya na yanga na siku zote nafurahia mahusiano yetu. sipend kuona mtu mwingine akimmiliki huyu dada.