Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Dunnia ya sasa inakwenda na maslahi ndugu,kuna kipindi itv na dtv walikuwa wanaonesha ligi ya england na italy bure,badae wenye mpira wao wakabadilisha mfumo na watu kama ww wakalalamika sana...mpaka sasa virabu vinapata kipato kikubwa kupitia tv rights,wangetaka kukufurahisha ww wa kijjn ingekuaje..acha umbumbumbu

Wee lofa tu, hujui lolote. Haya mambo yanakwenda kwa hatua. Kichaa kama atadhani mechi huonyeshwa bure, lakini mwenye ufahamu atajua kuwa huwa warushaji wanavilipa vilabu. Uingereza walifanya hivyo ilikuvutia watazamaji na kujikusanyia mashabiki duniani ndipo wakaanza kuwauzia tv rights. hebu fikiria ligi kuu kwa misimu miwili ingekuwa inaendelea bila mechi za yanga kurushwa ingekuwaje? Watoto wanaochipukia nyakati hizo wasingeijua Yanga. Hizo stratergy za kuzuia eti ili watu wajae uwanjani ni ujinga mkubwa. Tumia kichwa kufikiri wewe mtoto!!
 
Wee lofa tu, hujui lolote. Haya mambo yanakwenda kwa hatua. Kichaa kama atadhani mechi huonyeshwa bure, lakini mwenye ufahamu atajua kuwa huwa warushaji wanavilipa vilabu. Uingereza walifanya hivyo ilikuvutia watazamaji na kujikusanyia mashabiki duniani ndipo wakaanza kuwauzia tv rights. hebu fikiria ligi kuu kwa misimu miwili ingekuwa inaendelea bila mechi za yanga kurushwa ingekuwaje? Watoto wanaochipukia nyakati hizo wasingeijua Yanga. Hizo stratergy za kuzuia eti ili watu wajae uwanjani ni ujinga mkubwa. Tumia kichwa kufikiri wewe mtoto!!

Huyo jamaa hanalo analojua kuhusu mambo ya mpira, amebaki na ushabiki maandaz. Mwambia hivi kabla ya azamtv kuanza kuonesha live vpl ligi yetu ilikosa msisimuko lakini misimu hii miwili ambayo azamtv wanarusha live hz game ligi yetu ameanza kuwa na msisimu, watoto wanapenda mpira, akina mama wanaupenda mpira na kila rika. Watu wanafurahi kuwaona msuva, coutinho, niyonzima na mastaa wengine wanavosakata kabumbu na sio kuwasikia redioni
 
Hongera young african sport club,mafans wenu tunasubiri kombe la shirikisho kwa hamu kubwa
 
nashukuru Masuke kuonesha ustaarab. wanawake wa siku hizi tuwazoee ndugu yangu. mimi nimeshazoea kuitwa buzi,kikaragosi n.k wala sishangai. nasikitka tu kama mama mkwe wangu angejua naitwa hivi??? ni suala la makuzi si malezi. mi napokea matusi yote toa kwa bibie Bantu lady najua ni wapi sisi tunakutana na ktk mazingira gani. akina Makoye Matale sijui kama wanabariki haya maneno ya dhihaka ya dada yao kwangu.lakini hamna shida bado ntaonesha upendo kwake. nafurah kwa yanga kushinda leo na pia huko iendako baadaye ikashinde. sina ubaya na yanga na siku zote nafurahia mahusiano yetu. sipend kuona mtu mwingine akimmiliki huyu dada.

Shemeji yako Katavi anasema hata mahari hujamalizia kumbe, je ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Komeo Lachuma ningekuwa nakujua, ningekutandika bakora wewe.
Wewe ni wale watoto watukutu, wasiosikia lolote.
Ungekuwa na mke kama mimi, uwiiii wewe ungezidi weweseka humu. Halafu punguza hizo ID basi.
 
Last edited by a moderator:
jiwe walilokataa waashi ndilo limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Bantu lady my dear. kiukweli nina ID moja tu. ila nmeona kuna mtu anajiita kufuli la chuma. sijamfahamu. mi ni mpole sana my dear. wala sikuwah kuwa mtukutu. mi mpole mpaka basi. unataka kujifanya hunifahamu bantu? wakati tunashinda wote. sema hii mech ya leo ya simba na police ndo hatujaweza kuwa pamoja.
 
Masuke tatizo la katavi yeye mahari ya dada huwa anakuja kugongea. akikwama ktk shughuli zake huwa ananitumia msg ngoja moja ni kuwekee hapa uione " shem mambo vipi? nipo kiwanja hapa na nmepungukiwa 300,000. nipunguzie tena kwenye ile mahari ya sister" hiyo msg imetoka kwa Katavi wakati huo huo na Young sharo naye haachi kupiga mizinga hii msg yake " shem shwari? kama vipi nitoe 200,000. ya vocha nimekwama sana" unaona masuke hapo ndo mambo yetu yalivyo kwa hiyo mahari ambayo nilitoa kwa Bantu lady ilikuwa 8,000,000. na ng'ombe 20.mbuzi 10. magunia 10 ya mchele na mahunia 5 ya maharagwe. ila hawa kaka zake mpaka sasa nikihesabu haraka haraka wameshatumia kama mil 3.5 toka kwangu. ila tunajuana tumetoka mbali. ndo walikuwa wananiitia dada yao akiwa home kipindi hicho hatuna hata simu. so nawaelewa vizur tu. dada yao ni mzuri tatizo tu marafiki zake.si unajua mob psychology?
 
Last edited by a moderator:
mkolaj nafurah kunapokuwa na watu understanding ukiacha wale washabiki damu. hawa huwa they dont thnk critically. kiukweli sasa ligi imeanza kuwa na msisimko. tofaut na hapo nyuma. pia kumbuka inapooneshwa hata wadhamini huangalia namna gan watanzania weng wanafikiwa kwa muda mfupi. watu weng watapenda wawaone wachezaji wa yanga wawafahamu. na hili ni faida kwa club
 
Back
Top Bottom