Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Kikosi cha Yanga Leo dhidi ya BDF X1. 1.Ally Mustapha " Barthes"
2.Mbuyu Twite.
3.Oscar Joshua.
4.Kelvin Yondani " Vidic"
5.Nadir Haroub " Cannavaro"
6.Salum Telela 7.Simon Msuva.
8.Haroun Niyonzima "Fabregas"
9.Mrisho Ngassa.
10.Amiss Tambwe.
11.Andrey Coutinho.
 

Hapo MAKHIRIKHIRI lazima walale na viatu.
 

Kupumuliana nyuma sio poa kabisaaa
 
Yanga wakifudhu Leo watapangiwa na waarabu,huko wataaibisha taifa so bora wamalizane Leo Leo.


Wapigwe tu hao Yanga.
 
watani kwa muonekano tu wa maumbile wale jamaa wachovu sn msipowafunga mtakuwa mmelifedhehesha taifa. Leo kwa mara ya kwanza tangu nimepata ufahamu duniani ndo nimetoa pesa kununua jezi ya yanga na nimeshaivaa, ila mkifungwa tutaonana humuhumu jf.
 


hapo kwa TAMBWE angekaa TEGETE ila huyo mrundi sina kabisa imani nae!
 
watani kwa muonekano tu wa maumbile wale jamaa wachovu sn msipowafunga mtakuwa mmelifedhehesha taifa. Leo kwa mara ya kwanza tangu nimepata ufahamu duniani ndo nimetoa pesa kununua jezi ya yanga na nimeshaivaa, ila mkifungwa tutaonana humuhumu jf.

Tupia picha yako tuamini kama umevaa jezi ya yebo yebo.
Kuhusu ushindi usiwe na hofu leo wanashinda.
 
Umeshaanza kutengeneza mazingira ya kulikimbia jukwaa kuanzia saa 16:00-18:30. Uncle NGASSA ameahidi kuafundisha mpira hawa MAKHIRIKHIRI. Pole yenu watani na kesho polisi moro wameahidi kuwafundisha namna ya kumkamata mwiz kimya kimya.
Jukwaa sitalikimbia lakini inabidi niwaunge mkono hao Batshwana hivyo hivyo hata kama watafungwa.
 
Mpira vipi haujaanza???

Mpira umeshaanza mkuu Yanga wapo mbele kwa bao 1.

Mtandao wanisumbua kidogo nitakuwa naweka updates kila baada ya muda...
 
Kila siku kukataa mechi zisionyeshwe tu sijui inawasaidia nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…