Nimeambiwa Uhuru FM wanatangaza.
Nimeambiwa pia Aboud FM ya Moro nao wapo hewani...
ONLINE Abood fm wanatangaza click hapo Tanzania Radio Stations - Listen OnlineOk,nashukuru mkuu ngoja niwatafute
Azam wamegoma kutuonesha gemu badala take wameweka ya Kenya ...uzalendo is a big question in Tz
Kipindi kile yuko Simba tulikuwa tunamwita Amis Tambwe Magoli, nasikia siku hizi anaitwa Amis Tambwe Kosakosa.Goli la yanga limefungwa na nan
Yanga ndo wamegoma game yao kuonyeshwa kwa mujibu wa mahojiano ya Jerry Muto na Clouds FM
Azam wamegoma kutuonesha gemu badala take wameweka ya Kenya ...uzalendo is a big question in Tz
Tambwe...