Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Yanga bado wapo mbele kwa bao 1...
 
Dk 43

Yanga bado wanaongoza bao 1
 
Azam wamegoma kutuonesha gemu badala take wameweka ya Kenya ...uzalendo is a big question in Tz
 
HT

Yanga 1 - 0 BDF XI
 
Azam wamegoma kutuonesha gemu badala take wameweka ya Kenya ...uzalendo is a big question in Tz

Yanga ndo wamegoma game yao kuonyeshwa kwa mujibu wa mahojiano ya Jerry Muto na Clouds FM
 
Azam wamegoma kutuonesha gemu badala take wameweka ya Kenya ...uzalendo is a big question in Tz

Mpira ni biashara mkuu sio mambo ya uzalendo...

Huenda hakukuwa na makubaliano yenye maslahi baina yao...
 
Back
Top Bottom