Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mechi za kombe la shirikisho barani Afrika kwa ngazi ya vilabu zinaanza mwishoni mwa wiki hii.
Wawakilishi wa Tanzania Bara Young Africans SC watakuwa nyumbani wakimenyana na BDF XI kutoka Botswana katika mechi ya kwanza ya mzunguko wa kwanza.
Hali ya hewa ya jiji la Dar es Salaam kwa siku ya leo ni jua, vipindi vifupi vya mawingu huku upepo ukivuma kutoka kaskazini mashariki kuelekea kusini magharibi.
Yanga SC 2 (FT) 0 BDF XI
Dk.1, 56 Amisi Tambwe
1600 PM
Waamuzi:
Thierry Nkurunzinza (Bur)
Ramadhani Nijimbere (Bur)
George Gatogato (Bur)
=====================Wawakilishi wa Tanzania Bara Young Africans SC watakuwa nyumbani wakimenyana na BDF XI kutoka Botswana katika mechi ya kwanza ya mzunguko wa kwanza.
Hali ya hewa ya jiji la Dar es Salaam kwa siku ya leo ni jua, vipindi vifupi vya mawingu huku upepo ukivuma kutoka kaskazini mashariki kuelekea kusini magharibi.
Yanga SC 2 (FT) 0 BDF XI
Dk.1, 56 Amisi Tambwe
1600 PM
Waamuzi:
Thierry Nkurunzinza (Bur)
Ramadhani Nijimbere (Bur)
George Gatogato (Bur)
UPDATES:
Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam leo
Mashabiki ya Yanga wakifuatilia mchezo kwa makini
Mpira umekwisha na matokeo ni Yanga SC 2 - 0 BDF XI
Magoli yote mawili yamefungwa na Hamis Tambwe dakika ya kwanza ya mchezo na dakika ya 55 ya mchezo.