Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Pole kwa kubanwa,pia hongera kwa ushindiHahaaaa. Mtani jana nilibanwa na vitu flani aisee mpaka sikuingia tena humu.
Haya sasa semeni.
Ahsante kwa yote Mtani. Zile za jana ni salamu tuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] habari kamili inakuja [emoji12] [emoji12] ,sasa muda wako kunipa zile zaga zaga zangu mtaniAhsante kwa yote Mtani. Zile za jana ni salamu tuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamua nikushitue mtu wangu si unajua nilikwambia naenda mbao kwa mkopo bas ile safar yangu ya kwenda mbao fc nimeialishaHahaaaa. Beira leo sababu Yanga kashinda basi Mashetani wamekuwa malaika lol.
Na bado kwa Yanga watapata tabu sana.
Hahaaaa. Ahsante sana Mwana Jangwani mwenzangu. Bakia tu maana kumeshaanza kunoga huku.Nimeamua nikushitue mtu wangu si unajua nilikwambia naenda mbao kwa mkopo bas ile safar yangu ya kwenda mbao fc nimeialisha
Sent using Jamii Forums mobile app
go yanga go
Hii yanga ni hatar sana aisee usipime naona mtaa wa pili hapend ukweli huuHahaaaa. Ahsante sana Mwana Jangwani mwenzangu. Bakia tu maana kumeshaanza kunoga huku.
Na kutokupenda kwao basi wanatoa maneno makaaaali wakati ni kweli Mwarabu tumemkalisha.Hii yanga ni hatar sana aisee usipime naona mtaa wa pili hapend ukweli huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Waambie Watani mie kamba ninayo.Yanga ndio hao. Mwenye wivu ajinyonge.
Kwahiyo Mwarabu kapakatwa!?Na kutokupenda kwao basi wanatoa maneno makaaaali wakati ni kweli Mwarabu tumemkalisha.
Bado wao [emoji23][emoji23]
Vipaji tunavyo mkuu ila exposure ndio hua inatugharimu wachezaji wetu wanakosa nafasi za kucheza njeHuyu Simon msuva naona anawabeba sana waarabu ( nje ya Mada mnisamehe)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Waambie Watani mie kamba ninayo.
Ebana huyu Dogo anawabeba sana hawa el jadida ktk hii orange champion leagueVipaji tunavyo mkuu ila exposure ndio hua inatugharimu wachezaji wetu wanakosa nafasi za kucheza nje