Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga yaisambaratisha USM Alger kwa magoli 2-1 mbele ya Manji

Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga yaisambaratisha USM Alger kwa magoli 2-1 mbele ya Manji

😀😀😀, Halafu Waarabu wangetaka kuharibu wangeharibu sema walicheza kwa ku relax.....lile goli lao moja jamaa alivo wachambua utafikiri mtu anachambua Karanga kama anavojisemea Saida Karoli
Jifarijini tu mie nawaangalia. Sababu mwisho wa siku itasemekana "

Mwaka wa mwisho Usm Alger kufungwa alifungwa na Yanga tarehe 19.08.2017 kwa kufungwa magoli 2-1" hakutakuwa na maneno kwamba walirelax wala kilicheza kikosi cha tatu.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahaaa. Tena kama wa chumaa Sesten. Teh teh
Yaani timu inafanya vibaya kwenye ligi mpo nayo tu, inajitoa CECAFA mmeing'ang'ania, inachezea vichapo mfulilizo Kombe la Shirikisho mnaikumbatia tu! Kwanini kujipa pressure!?

Mngehama kama wale wengine wanaohamaga kutoka sehemu moja kwenda nyingine mje muunge mkono juhudi za Simba, halafu nyie wapya mtakaokuja Simba tutawapa kipaumbele kwenye kuishangilia timu yetu😀😀😀
 
Akaaaaaa. Hizi sera hizi Sesten muwaambie wale watoto ambao hawajui nini maana ya ushabiki ila kina sie washabiki kindaki ndaki hatuwezi hama hata kwa dawa Sesten.

Mtuwache [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Back
Top Bottom