Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kunaleta maumivu kiaje sasa?Kujipa moyo huko ndio kunawaleteaga maumivu
Ushindi wenyewe huo mmoja halafu mnaanza kujiaminisha timu yenu nzuri, hahahaaa msivimbe kichwa yakawatoea puani Hajar
Ngoja nikuulize Hajar hivi kweli moyo wako unaimani haswaa Yanga imerudi kwenye ubora wake? Hebu nijibu kiukweli kabisaHahahaaa. Kunaleta maumivu kiaje sasa?
Ndio mwanzo huu.
Jipeni moyo hivohivo siku ya siku tunakimbiana humu😀😀😀Hahahaaa. Waaambie haooo.
Hamna kitu kama hicho Sesten mie sijawahi kimbia humu labda wengine. [emoji2] [emoji2]Jipeni moyo hivohivo siku ya siku tunakimbiana humu😀😀😀
Hahahaaaa. LolHahahaaa polemi sana jamani. maana mnastahili pole badala ya hongera
Pole sana mkuu. Jifunze kupikea maumivu na kuyavumilia. Hii ndio yangaJAMANI MLIOKO HUKO MTUJULISHE LEO YANGA KAPATWA NA NINI?,MAANA ANACHOKIFANYA SICHO AMBACHO WATANZANIA TUNATAKA AFANYE,NAUMIA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya na tusubiri tuoneHahaaaa. Bado haijafikia kwenye ule ubora ila ndio uko njiani Sesten
Nimeamķa vizuuri leoKama mie Swahiba aiseee.
Nimefurahi mnooo.
Hakika. Haya ndio maneno sasa.Haya na tusubiri tuone
Tunawasubiri kwa hamuHamna kitu kama hicho Sesten mie sijawahi kimbia humu labda wengine. [emoji2] [emoji2]
Pia hizi ni salamu upande wa pili.Nimeamķa vizuuri leo
Hamu zenu bakini nazo tu kwa kweli sababu najua kwa Yanga mtaangukia pua.Tunawasubiri kwa hamu
Upande wa pili jana walikuwa wapole sana, hawakuamini tumewapiga waarabuPia hizi ni salamu upande wa pili.
Tupinge?Hamu zenu bakini nazo tu kwa kweli sababu najua kwa Yanga mtaangukia pua.