[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu si mtambo wa magoliHuyu Makambo mbona anaanguka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu si mtambo wa magoliHuyu Makambo mbona anaanguka sana
Si wanaitwaga Wa kimataifa, waoneshe heshima ya kimataifaHeshima ipi hiyo ya yanga? Acha utani.
Whaaat!!
Dues Kaseke amerudi Yanga? This is gud news to hear..Go go Dar Es salaam Young AfricansBaada ya kusambaza vipigo kwa team zote Ilizokutana nazo huko Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya kukutana na waarabu roho mbaya. Sasa yanga imetangaza kiama kwa timu ya kiarabu leo Taifa
Kipigo itakachotoa ni cha paka mwizi.yanga wamewafugia hasira waarabu hawa kwa musa mrefu na leo wanakuja kuziachilia.
Kikosi cha Yanga kitakachofanya mauaji ya kutisha leo Taifa. Jamani njooni...msiache kipigo cha leo kitakuwa cha kuweka rekodi.
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Abdallah Shaibu
7. Pius Buswita
8. Papy Kabamba
9. Heritier Makambo
10. Rafael Daud
11. Deus Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Ramadhan Kabwili
13. Said Makapu
14. Haji Mwinyi
15. Ibrahim Ajibu
16. Thabn Kamusoko
17. Juma Mahadhi
18. Amis Tambwe