Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
2-1
Yanga mbele 88’
Yanga mbele 88’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wameshinda waarabu hoi ....
Yanga wameshinda.
Hii ndio yanga tunayoijua sasa huleee huleeeBaada ya kusambaza vipigo kwa team zote Ilizokutana nazo huko Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya kukutana na waarabu roho mbaya. Sasa yanga imetangaza kiama kwa timu ya kiarabu leo Taifa
Kipigo itakachotoa ni cha paka mwizi.yanga wamewafugia hasira waarabu hawa kwa musa mrefu na leo wanakuja kuziachilia.
Kikosi cha Yanga kitakachofanya mauaji ya kutisha leo Taifa. Jamani njooni...msiache kipigo cha leo kitakuwa cha kuweka rekodi.
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Abdallah Shaibu
7. Pius Buswita
8. Papy Kabamba
9. Heritier Makambo
10. Rafael Daud
11. Deus Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Ramadhan Kabwili
13. Said Makapu
14. Haji Mwinyi
15. Ibrahim Ajibu
16. Thabn Kamusoko
17. Juma Mahadhi
18. Amis Tambwe
Yanga 2- USM Alger 1
na bado nyambafff
Kuna mtu kanidanganya kuwa yanga tumefungwa.
Niko poa best, umeadimika kweli.Yanga 2 - 1 US Alger
Best uko poa?
Loooool alitaka kukuuwa bure kwa pressureKuna mtu kanidanganya kuwa yanga tumefungwa.