Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

Kikosi cha wastani kipelekwe.
Unajua pale Misri kwa mfano ukawapiga Al Ahly 4-0,alafu ndo iwe mechi yao ya mwisho wakifungwa wanatolewa klabu bingwa,haki ya Mungu amtoki salama,kwa waarabu walivyo wabaguzi na roho zao mbaya kulipuliwa na sekunde tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo la wachezaji wetu wa ndani,misifa na uspuni ukimkolea wanabweteka.
Mkude hakubweteka ndiyo maana amespend 9 good years kuanzia akiwa kwenye top form.

Binafsi sina cha kumdai Mkude pale Simba.
Msimu huu tukitwaa ubingwa ligi kuu Mkude atakuwa ananyanyua kwapa kwa mara ya tano VPL na kulingana kina Yondani, Nadir Canavaro pamoja na Wengineo.
 
Simba hii ya ajabu sana, karibu wachezaji wengi wana uwezo wa kufunga goli, kweli ukimbana Chama anafunga mwingine kabisa usiyemtarajia!!
 
Back
Top Bottom