shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kikosi cha wastani kipelekwe.
Unajua pale Misri kwa mfano ukawapiga Al Ahly 4-0,alafu ndo iwe mechi yao ya mwisho wakifungwa wanatolewa klabu bingwa,haki ya Mungu amtoki salama,kwa waarabu walivyo wabaguzi na roho zao mbaya kulipuliwa na sekunde tu.