Kikosi cha wastani kipelekwe.
Unajua pale Misri kwa mfano ukawapiga Al Ahly 4-0,alafu ndo iwe mechi yao ya mwisho wakifungwa wanatolewa klabu bingwa,haki ya Mungu amtoki salama,kwa waarabu walivyo wabaguzi na roho zao mbaya kulipuliwa na sekunde tu.
Mkude hakubweteka ndiyo maana amespend 9 good years kuanzia akiwa kwenye top form.
Binafsi sina cha kumdai Mkude pale Simba.
Msimu huu tukitwaa ubingwa ligi kuu Mkude atakuwa ananyanyua kwapa kwa mara ya tano VPL na kulingana kina Yondani, Nadir Canavaro pamoja na Wengineo.